JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Sawa.....!!! kashakuwa mzuri sasa baada ya kutaka kuja kwenu....Kwani hamjamwona? Kila alipopata nafasi ya kucheza vitu vyake vilionekana, musimu mtarajie mengi zaidi kutoka kwake!

We"ll be back...!!
Sawa, makombe kabatini enzi zile! na sasa je?
Wahaoooo!!! I missed u mo my dear, niaje? Mambo vip!
Ebu chukua kwanza hiii mmmmmmm...mwah..!!
Ujue nina mahaba ya kweli nusu niugue sio huko kukumisi tuu jaman.
Mambo poa mamii hofu kwako
Asante jamani mwaaaaa nawe pia.....mie mzima sana jamani nakumiss nami zaidi hebu nifungulie mm tu ruhusa ya kuingia chumbani .,...lol
Mhhhhhh! nini pale? LOL! Menyewe kwa menyewe!? :behindsofa:
mshageuza thread yetu sehemu ya malavidavi enhe!?
Ni moja ya Upendo na urafiki!
nimekuja kwa kasi nisome kama kuna taarifa zozote za usajili nakuta watu wanapigana mabusu!
Mhhhhhh! nini pale? LOL! Menyewe kwa menyewe!? :behindsofa:
Asante jamani mwaaaaa nawe pia.....mie mzima sana jamani nakumiss nami zaidi hebu nifungulie mm tu ruhusa ya kuingia chumbani .,...lol
Mhhhhhh! nini pale? LOL! Menyewe kwa menyewe!? :behindsofa:
Hahahhaha!!! Acha tupeane wenyewe tu maana nyie upendo wenu siyo hamchelewi kuja kutuanzishia thread......