Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HAya tumeshakuwa level na points na Chelsea, ila credits kwa Wigan walikuwa tough to beat lakini ndio hivyo.
 
Duh kadi mbili nyekundu ndani ya dakika 3.
Pongezi kwa kujibebea pointi 3 muhimu, lakini bado sijakuwa convinced kwamba bad patch kwenu imepita, wachezaji 9 lakini bado haikuwa walk - over, mwaka huu naona ligi haina mwenyewe, sio Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs wala City wote tunasuasua tu.
 
Pongezi kwa kujibebea pointi 3 muhimu, lakini bado sijakuwa convinced kwamba bad patch kwenu imepita, wachezaji 9 lakini bado haikuwa walk - over, mwaka huu naona ligi haina mwenyewe, sio Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs wala City wote tunasuasua tu.
Ahsante.
Mkuu ingawa tuna record nzuri dhid ya Wigan, still mechi kama hii tulitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza lakini kama ilivyo kawaida ya timu yangu msimu huu tunacheza kwa kusuasua.

Ni kweli hatujafire all cylinders na hiki kitu kinanipa ugonjwa wa moyo lol!! pamoja na kusuasua kwetu tuko sawa kwa point na chelsea ambao walianza kwa kishindo na walikuwa kwenye top form mpaka say wiki iliyopita. All in all msimu bado ni mrefu lolote linaweza kutokea kati ya wiki ijayo mpaka May.
 
Lol!..Mungu atupe nn zaid Manure with wapinzani loosing their respective games?..Go Go Go United!
 
Hongera zenu kwa kutukamata kwa points. Naona ligi msimu huu itakuwa ngumu zaidi ya msimu jana, kila timu inpoteza points katika hali isiyo ya kawaida.
 
tuliwatanguliza kwa baiskeli za miti sasa tunakuja kileleni...
xmass tutakua tumejikita pale kileleni kama kawaida yetu
 
Hahahaaa!.. natafuta ile picha ya Le Professor Wenger, a.k.a. Mr Bean..a.k.a. Mkinga Bahili akibamiza chupa ya maji chini leo......nyingine kama hii kashika tama kama kura zake zimechakachuliwa. Lol!
 

Attachments

  • wengerwoe20101120_350x197.jpg
    12.7 KB · Views: 34
Duh!..hii thread ilishakimbia page 2, nimeisaka sana.....Here it is...Gooooo Manure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…