Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,183
- 37,492
Una akili sana ukiwa na ukuta mzuri pengo la DDG halitoonekana kabisa.
Usijali kila kitu na enzi yake tutampata Musa mwingine...... Mimi ninachokiona tuimarishe tu safu yetu ya ulinzi kina Smalling si wa kuwategemea sana japo wamejitahidi,tukiwa na ukuta uliosimama hata majukumu kwa kipa yanapungua, kati pale Carrick apate mwenzake bunduki pale mbele iongezwe jamani United tutatisha......