Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wacha aende kila jambo na wakati wake......... Hofu yangu aangalie tu bench lisimuhusu maana kipa wa RM (jina limetoka uzee huu sasa) kasema anafurahi DDG kwenda RM ila bado na yy anataka aendelee kuitumikia club yake na ni wakati wake mzuri wa kufanya vizuri zaidi kuliko kipind chote kile,anafurahi uwepo wa DDG utakuwa changamoto kwake........ Sasa hapo kuna nini tena km benchi haliend kumuhusu?

Hope mzee atatutendea haki kwa kumreplace na Hugo Lloris. Tofauti na hapo tutaumizwa sana. De gea ndiye katupeleka CL.
 
Vipi yule wa beki wa barca una taarifa zake nilisikia anakuja man u..

kitwala kajibu, afu yule hakuwa na mpango wa kuja wala van gaal sidhani kama alikua interested nae(japo yupo vzr), ila wakala wake ndiye alikua ana mpromote ili apate dili nono barca la zaidi ya mwaka mmoja na kafanikiwa kupata miaka miwili
 
Last edited by a moderator:
Afu mamy ngoja nishtaki.
Ile kazi ya kudeal na Ntuzu ishakuwa ngumu kwangu.
Ntuzu anataka ukimwelewesha kidogo umpe na busu la kumezea mi siez tena

Huyu kazi yake ishaisha mbona msimu ujao wetu huyu ........loh!! Usitake nimwage mchele kwenye kuku wengi....
 
Last edited by a moderator:
Hawa RMA baada ya kuvuna matunda ya kijana wetu CR7 baadae kijana Chicharito naye akawang'arisha robo fainali sasa wameamua kutufanya sisi academy yao.

wapuuzi sana wale jamaa, hawajui kumthamini mchezaji akiwa low, wenyewe wanataka mastaa tu, nasikia wanamtaka na morata tena, nina wasi wasi na depay kama ata shine utd watamchukua kirahisi kama de gea maana yule dogo ni madrid damu (depay)
 
Wacha aende kila jambo na wakati wake......... Hofu yangu aangalie tu bench lisimuhusu maana kipa wa RM (jina limetoka uzee huu sasa) kasema anafurahi DDG kwenda RM ila bado na yy anataka aendelee kuitumikia club yake na ni wakati wake mzuri wa kufanya vizuri zaidi kuliko kipind chote kile,anafurahi uwepo wa DDG utakuwa changamoto kwake........ Sasa hapo kuna nini tena km benchi haliend kumuhusu?

msimu wa kwanza wanaweza wakagawana mechi, vyombo vya habari jana vimeripoti jamaa kama hawaelewani flani hvi maana hata gari zao walipaki mbali mbali, wakati wakufika mazoezini walipotezeana kama hawafahamiani
 
Hahahaha nimecheka hii post yako mchepuko wako umekuwa wapuuuzi eeee!!!!........yaani huyu dogo Depay sijui,hivi mkataba wake ni wa muda gani?
 
Hivi deal iliyokamilika kwetu ni ya M. Depay pekee au kuna zingine?
 
Kumbe!!! Mbona alikuwa anajitapa kwenye media kwamba yeye ndo aliushauri uongozi wa RM walipomuuliza kipa atakayewafaa ni DDG.....
 
Wacha aende kila jambo na wakati wake......... Hofu yangu aangalie tu bench lisimuhusu maana kipa wa RM (jina limetoka uzee huu sasa) kasema anafurahi DDG kwenda RM ila bado na yy anataka aendelee kuitumikia club yake na ni wakati wake mzuri wa kufanya vizuri zaidi kuliko kipind chote kile,anafurahi uwepo wa DDG utakuwa changamoto kwake........ Sasa hapo kuna nini tena km benchi haliend kumuhusu?

Mimi natamani benchi limuhusu ili aache kuruka ruka kama maharwage yanayo tokota
Ila namkubali sana
 
Hahahaha nimecheka hii post yako mchepuko wako umekuwa wapuuuzi eeee!!!!........yaani huyu dogo Depay sijui,hivi mkataba wake ni wa muda gani?

hahahahaaa, si unajua ukiwa njia kuu itabidi ufanye kuupotezea mchepuko,
kuhusu deal lake bado halijawekwa wazi ni la muda gani ila kati 4-5 years, ngoja tusubiri tar 1/7
 
Hope mzee atatutendea haki kwa kumreplace na Hugo Lloris. Tofauti na hapo tutaumizwa sana. De gea ndiye katupeleka CL.

Usijali kila kitu na enzi yake tutampata Musa mwingine...... Mimi ninachokiona tuimarishe tu safu yetu ya ulinzi kina Smalling si wa kuwategemea sana japo wamejitahidi,tukiwa na ukuta uliosimama hata majukumu kwa kipa yanapungua, kati pale Carrick apate mwenzake bunduki pale mbele iongezwe jamani United tutatisha......
 
Hivi deal iliyokamilika kwetu ni ya M. Depay pekee au kuna zingine?

hamna mkuu ni hyo hyo moja ila tutegemee kuhusishwa na viumbe wengi sana kipindi hiki akiwemo mandzukic wakat van gaal alisema target yake kubwa ni CB na DM
 
Mimi natamani benchi limuhusu ili aache kuruka ruka kama maharwage yanayo tokota
Ila namkubali sana

Hahahaha!!! Shost chezea puchi wewe!! DDG kasema anarudi Spain coz GF yuko huko pili Wazazi wake wanapata tabu kila wiki kuja kumtembelea, tatu yeye ni mspain anarud kwao........ Katika yote sbb kuu anataka kuwa karibu na puchi yake akiihitaji saa yoyote ajilie.....girls tuna nguvu acha kabisa, wanawake oyeeeeee!!!!!
 
Usijali kila kitu na enzi yake tutampata Musa mwingine...... Mimi ninachokiona tuimarishe tu safu yetu ya ulinzi kina Smalling si wa kuwategemea sana japo wamejitahidi,tukiwa na ukuta uliosimama hata majukumu kwa kipa yanapungua, kati pale Carrick apate mwenzake bunduki pale mbele iongezwe jamani United tutatisha......

Nikiziangalia timu zingine kama Barcelona, Bayern Munich, RMA, PSG, ATM hata Juventus n.k
nikilinganisha na Man U yetu ya kina Blacket naona tunahitaji watu wa kazi sana kuiweka timu yetu kiushindani vinginevyo tukikutana na hawa jamaa tutaishia aibu.
 
Hahahaha!!! Shost chezea puchi wewe!! DDG kasema anarudi Spain coz GF yuko huko pili Wazazi wake wanapata tabu kila wiki kuja kumtembelea, tatu yeye ni mspain anarud kwao........ Katika yote sbb kuu anataka kuwa karibu na puchi yake akiihitaji saa yoyote ajilie.....girls tuna nguvu acha kabisa, wanawake oyeeeeee!!!!!

Hahahahaaa, aya bhana
 
Kweli mnanguvu ..
 
Nikiziangalia timu zingine kama Barcelona, Bayern Munich, RMA, PSG, ATM hata Juventus n.k
nikilinganisha na Man U yetu ya kina Blacket naona tunahitaji watu wa kazi sana kuiweka timu yetu kiushindani vinginevyo tukikutana na hawa jamaa tutaishia aibu.

Ni kweli kabisa ,lakini mpaka sasahivi soka safi tunalicheza tumekosa radha ya magol tu tufanye usajili ya ntu 3 za maana nakwambia United tutatisha mbaya...... Kiukweli tuna kakibarua kazito siyo siri ila naamini tutavuka tu.
 
Back
Top Bottom