everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hizo tetesi zipo sn na Mourinho pia alinukuliwa akihitaji huduma ya Falcao kwa msimu ujao lkn bado haijathibitika! Ngoja tusubiri tuone!
Wewe unaona atawafaa au ndo vile coz baba kasema.....lol
Hizo tetesi zipo sn na Mourinho pia alinukuliwa akihitaji huduma ya Falcao kwa msimu ujao lkn bado haijathibitika! Ngoja tusubiri tuone!
Wewe unaona atawafaa au ndo vile coz baba kasema.....lol
Falcao wakati akiwa ATM, alikua mzuri sn lkn alipokua Ufaransa hakufanya vzr sn. Amekuja ManU majeruhi yakamuandama sn na ukiangalia LvG alikua akijaribu kikosi pamoja na mfumo upi atumie. Hizi sababu zilimfanya Falcao asipate nafasi ya kucheza sn! Kwahiyo hakuweza kuonyesha makali Yake ingawa ndani ya moyo wake alikua na dhamira ya kupambana hasa! Na pia labda wachezaji wenzake kwa namna moja au ingine walikua wanamuangusha! Lkn km asipoandamwa na majeruhi na pia akaweza kwenda sanjari na mfumo Wa Chelsea pamoja na wachezaji Wa Chelsea kumpa ushirikiano mzuri basi anaweza kurudisha makali Yake iwapo atakuja darajani! Lkn km ndio hivi hivi alivyo kwa sasa basi ni bora Ata ya Remy kuliko Falcao!
Falcao kwa sasa kaisha, kabakia jina. Hana tofauti na simba mzee. Jamaa alikuwa moto alipokuwa pale fc Porto na atletico Madrid. Diego Simion kwa kuujua uwezo wa Diego Costa akaamua kumwingiza sokoni. Wakapiga pesa kibao kwa PSG na kuanza kumtumia Costa ambaye tayari alishamwamini.
Man utd kwa sasa mnahitaji zaidi ya miaka mi 5 ili kuweza kushindana ulaya. Kwa sasa kikosi chenu ni kwa ajili ya FA, na Carling cup. Hiyo ligi bado mtapata shida toka kwa Chelsea, Man city, na Arsenal.
Wengi wanaongea hivyo kwa sababu Agent wa Mourinho ndo huyo huyo Agent wa Falcao...... Sidhani kama ni kweli anahitajika kule ....
Vipi mmeisha msajili Thom Muller from Munchen?
Falcao kwa sasa kaisha, kabakia jina. Hana tofauti na simba mzee. Jamaa alikuwa moto alipokuwa pale fc Porto na atletico Madrid. Diego Simion kwa kuujua uwezo wa Diego Costa akaamua kumwingiza sokoni. Wakapiga pesa kibao kwa PSG na kuanza kumtumia Costa ambaye tayari alishamwamini.
Man utd kwa sasa mnahitaji zaidi ya miaka mi 5 ili kuweza kushindana ulaya. Kwa sasa kikosi chenu ni kwa ajili ya FA, na Carling cup. Hiyo ligi bado mtapata shida toka kwa Chelsea, Man city, na Arsenal.
Hizo ni tetesi tu, kila mchezaji ni United tu......hongera kaka yangu naona Ings ndani ya Anfield.
Mwanakwetu Ziroseventytwo embu tema mate chini!!.... Hakuna timu ya kutisha England ukiniambia Kwenye CL sawa nakuelewa.......
BR mwehu huyo achana nae
Hahahaha!! Ila fans wa LFC mnajua kuvumilia tolerance limit yenu iko juu imezidi 100% kama ni uvumilivu wa ndoa mwauweza, sikutegemea mpaka sasa BR aendelee kushikilia makashabra ya Anfield ingelikuwa OT fans wake kungechafuka vibaya sana siku nyingi angebebeshwa virago vyake.
Upo sawa. Man utd kushindana ulaya kwa sasa haiwezekani. Wao wanatakiwa kushindana na vilabu vya uingereza. Msipokuwa makini LVG atawajazia wa-holanzi kwenye timu. Na hii ni Tabia za makocha wengine. Ref wakati Wenger anakuja pale Arseno na Jossee Mourinho alipokuja Chelsea. Wenga alijaza wafaransa na Mourinho alijaza wareno pale Chelsea.
Vp kipindi hili cha usajili. Kwa nini na sisi tusikusajili ukawa buluda? Najua kwa sasa unagombewa na timu mbili. Juve na Barcelona. Nakushauri uje Kyle kwa majuventini.
Mwenyewe wanajiita die hard fans...ha hahahahaha! Ila niliwahi kuwashabikia japo kwa mkopo.
Lloris | "am staying calm and seeing how things develop, i want to participate in CL and rub shoulders with the biggest european teams"