Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#TeamWakaangaSumu

We jamaa nakufananisha na mtoto ambaye anapenda kwenda kushinda nyumba ya jirani hadi anapasahau kwao. Unapenda sana kuwa united ndo maana upo huku muda wote.

Hahhahahaha ....shiiiiiii!!!! usiongee kwa sauti basi hiyo ni kazi ya sportladies cute b na everlenk anajikuta anapenda vyotee....lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndg zanguni wa damu nyekundu ya MU mpo salama?
kitwala tupooooo kabisaaaa!!! Jamani ulipotelea wapi? Toka kichapo cha Everton ukapotea kabisaa...... Karibu tena ......nilikumiss saanaaa......
 
Last edited by a moderator:
Negotiation btn RMD and Manutd for de gea are in the final stages,

RMD will pay euro 25mill + euro 5mill in add-ons. [MARCA]
 
kitwala tupooooo kabisaaaa!!! Jamani ulipotelea wapi? Toka kichapo cha Everton ukapotea kabisaa...... Karibu tena ......nilikumiss saanaaa......

Dada angu nipo pamoja na kutingwa ila wale watu walitufanya vibaya sana.
 
Last edited by a moderator:
something lyk dat, mwache aondoke tu katusaidia sana msimu huu lakn ili mradi ye kataka kuondoka mwache aende ile ndio madrid kosa moja out, ataikumbuka ot

Vipi yule wa beki wa barca una taarifa zake nilisikia anakuja man u..
 
something lyk dat, mwache aondoke tu katusaidia sana msimu huu lakn ili mradi ye kataka kuondoka mwache aende ile ndio madrid kosa moja out, ataikumbuka ot

Hawa RMA baada ya kuvuna matunda ya kijana wetu CR7 baadae kijana Chicharito naye akawang'arisha robo fainali sasa wameamua kutufanya sisi academy yao.
 
Negotiation btn RMD and Manutd for de gea are in the final stages,

RMD will pay euro 25mill + euro 5mill in add-ons. [MARCA]

Wacha aende kila jambo na wakati wake......... Hofu yangu aangalie tu bench lisimuhusu maana kipa wa RM (jina limetoka uzee huu sasa) kasema anafurahi DDG kwenda RM ila bado na yy anataka aendelee kuitumikia club yake na ni wakati wake mzuri wa kufanya vizuri zaidi kuliko kipind chote kile,anafurahi uwepo wa DDG utakuwa changamoto kwake........ Sasa hapo kuna nini tena km benchi haliend kumuhusu?
 
Back
Top Bottom