Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona tunaanza kutatua tatizo la kipa sasa, limebaki tatizo la kiungo.

 
Naona tunaanza kutatua tatizo la kipa sasa, limebaki tatizo la kiungo.
I hope they're no better than Taibi, I was at Bridge and enjoyed the game we put 5 past the Italian....sweet days!
 
Am counting kwa Manure fans ambao kwa sasa wanaiponda timu yao, am just wondering hii tabia ya assholes imefikaje huku?, shetani wa ukweli hawi down kiasi hiyo, c'mon!...leo mnawataja flop players, kesho wakipiga last minute goal na tuwe vinara mbn mtasutana. Keep the faith up, coz, for years now timu yetu imekuwa na hao hao ambao you call average players, Acheni kukata tamaa kama assholes fans, leo wa pili kwenye ligi unaona wanaongea, ngoja wapigwe mechi tatu TU mfululizo, utaona shi* wanayaongea.
Its nt over till its over, KEEP THE FAITH TO THE LADS!
 
For my side as a man utd fan naona tatizo kubwa liko kwenye midfilders coz ukiangalia msimu mido ya scholes imekua haipandishi timu though mara nying anapangwa 6 it means hakuna atticking mido nzuri coz fletcher akipandsha timu unaona kuna gepu kubwa kati yake na #6,minaona sir.Fergie anunue attackin mido ili fletcher atulie 6 ndipo apo ushind wetu wa counter attack utarud na tutaiona man ile yakina ronaldo na rooney also aongeze winga coz kuumia kwa valencia kumechangia pia
 
Bandugu leo litingatinga (Roooney) letu linarejea dimbani....hopeful Wigan watakumbana na kisago kikali...tukutane 'OT' baadae!
 
..haya sasa munure leteni raha, assholes wameingia choo cha kike!
 
Hzi dead balls angekuwa R7 bado yko, unahesabu goli kadhaa had saa hzi.
 
Babu sijui kwa nini anamuanzisha Scholes benchi huyu CARICK galasa tu
 
Naona anaondoa nuksi,kipindi cha pili Fergie inabidi awaingize Sholes,Rooney na Chichariro
 
Huyo Rooney anaweza asishine maana cross za Tony Valencia hamna. Fletcher naona anapoteza sana mipira.
On the other side naona Bolton wanawapa dozi Newcastle.
 
Paul Scholes bado ni mzuri sana.............umri si hoja
 
ManU hawako aggresive kwneye kutafuta goli
Mkuu tunacheza kama Arsenal [sic], timu yangu siku hizi wanacheza ilimradi wacheze tu, hawana ile fighting mentality tuliyoizoea kutoka kwa Man Utd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…