mi nilijua fagason anacheza kiduku
Ahahahahahahahaha Siku ile watu walicheka sana, jamaa akawa anatetemeka.
mi nilijua fagason anacheza kiduku
hebu nendeni mkamalizane na Gang chomba kule, mmemuogopa???Ahahahahahahahaha Siku ile watu walicheka sana, jamaa akawa anatetemeka.
Ahahahahahahahaha Siku ile watu walicheka sana, jamaa akawa anatetemeka.
hebu nendeni mkamalizane na Gang chomba kule, mmemuogopa???
hebu nendeni mkamalizane na Gang chomba kule, mmemuogopa???
bora wewe UEFA unarudi. Mwenzio hata dalili hana.
na waamjitahd wafike hata robo
nikikumbuka siku ile na bayern wakat nacheki game kwenye vibanda umiza ilikuwa bayern vs man u pale arena yule wilbek akaanza kuwanyanyua man daaah waliinuka kwalishangilia ile mbaya sasa ile wanataka kukaa bayern wakaanza wao kuingia nyavuni yaniilikuwa furaha ya dakika 1 FT MAN 1 BAYN 3Labda apangwe na Arsenal ila sio kama akina PSG, Atletico. Usitaje Madrid, Juve wala Barca, maana hawa wanaweza mchapa hata 7.
nikikumbuka siku ile na bayern wakat nacheki game kwenye vibanda umiza ilikuwa bayern vs man u pale arena yule wilbek akaanza kuwanyanyua man daaah waliinuka kwalishangilia ile mbaya sasa ile wanataka kukaa bayern wakaanza wao kuingia nyavuni yaniilikuwa furaha ya dakika 1 FT MAN 1 BAYN 3
Robbeeeeeeeeeeeen!!!!!!!
ha ha ha ha ha ha unawaumiza moyo kwani watamkumbuka sir alex maana huyu LVG ni shiida
hahahaha Alex yupi? yule aliyekuwa anatetemeka kama anaumwa degedege pale Wembley!?
huyohuyo mgonjwa wa pepopunda kidoogo alikuwa anawasaidiaga
Hebu acheni matusi jamani..