huyohuyo mgonjwa wa pepopunda kidoogo alikuwa anawasaidiaga
Aliwafikisha fainal ila kwa awamu mbili za mwisho zote akakosa, yule kidogo timu aliiweza.
Wakampa mwehu Moyes, akapeleka timu nafasi sijui ya 7, hata leo Man U kuwa hapa ni neema tu ya mungu. Watu walijua wanatakuwa nafasi ya 14-15 harafu msimu ujao ndo itashuka daraja kabisa.