Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Wamchape tu maana nimechoka Sasa!
Last edited by a moderator:
Weeee koma.... red devil sisi ni hatari
Kweli Red Devil ni hatari. Yerewiiiiiiiii.😀😀😀
Tehe teheeeee uvae jezi zako za blue na mimi red tukutane OT tupambane
Twende lunch nasikia hela yako ni tam balaa nataka nikaionje
Embu tulieni huko hamjui yuko humu humu anawaona.... Embu nisiteme BG kwa Karanga za kuonjeshwa........ Mcharo my bei biii lov u.....
Cc Mentor
ntakuja chumbani kwako kupiga story, leo sina kazi wala nn... nikuonjeshe na karanga za asali
kumiliki bucha sio sababu ya kula nyama kila siku.....
kumiliki bucha sio sababu ya kula nyama kila siku.....
watt hawapendi ukame.. watt wanapenda makombe.. watt wanapenda mabao.
siku si nyingi kipute kitaanza tena, jikazeni asee.. mkishindwa tunaoa jumla.