bahili!?? me sio bahili.. hajapatkana wa kuzitumia kisawasawa tu kama yupo na ajitokeze afaidi mema toka kwa baba nyange.. everlenk anaogopa ogopa
Hahahaaa basi sawa naomba nilipie dstv
Last edited by a moderator:
bahili!?? me sio bahili.. hajapatkana wa kuzitumia kisawasawa tu kama yupo na ajitokeze afaidi mema toka kwa baba nyange.. everlenk anaogopa ogopa
Hahahaaaa usipojiweka rehani
bahili!?? me sio bahili.. hajapatkana wa kuzitumia kisawasawa tu kama yupo na ajitokeze afaidi mema toka kwa baba nyange.. everlenk anaogopa ogopa
Hahahaaa basi sawa naomba nilipie dstv
shaka ondoa.. jingine!?
Hahahaha!! Huna lolote naogopa nini sasa?.......hivi cute b hawa Chelsea wana hela gani kutupoza siye watoto wa kishua toka OT matajiri wao? Mumy usidanganyike hana hela ndo maana mashart kibao full kuchonga kama baba yao.

Unilipie trip zote za man u za friend lig niende
Hahahahhahahahaaha kuna mtu nilimuuliza akawa ananisimulia kuwa ile siku alikuwa kuwa alivokuwa anaangalia mpira ghafla akajikuta taratiiiiibu anaegemea muembe huku akishindwa kuamini kinachoendelea.
twende wote.. ili tukafurah zaidi.
Nawaelewa hawa everlenk hawanipi tabu...
The bluuuzz maneno mengi halafu pesa hamna na ndo maana wanatushangaa sisi hela tunazo spend
Wewe mwoga kinoma...ile siku nakwambia unisindikize njia panda ulitoka mbio apo nikakukata maksi
yale masharti yalikua noma diah.. afu pia ni kutegana kule.. unazan me ningetoka kapa pale!?
Sasa kwenye izo tour utanilipia hoteli yangu mwenyewe?
Sasa kwenye izo tour utanilipia hoteli yangu mwenyewe?
Wewe mwoga kinoma...ile siku nakwambia unisindikize njia panda ulitoka mbio apo nikakukata maksi
Poti b5-click unataka kunipora usingizi wangu cute b na everlenk?
Duh mbona unataka kunipa shida! Naona unatoa ofa za nguvu!
Wajameni ntaweza mie kuwazuia hawa viumbe dhidi ya ofa zako?
Joking brother! Ligi imekwisha hakuna tena tambo zozote bora kupiga story na wapendwa wetu marafiki km hawa!
Pamoja sn wakuu
Ohhh!!! Bado mnadalaliana mumy? Hana jeuri hiyo utamfanya awe maskini bure aje akuanzishie na Uzi hapa......