Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Hahahahah... ukiona nimemwanzishia uzi ujue wa kumsifia kwa kile alichorithi toka kwa mama yake.. na jinsi anavojua kukitumia.. karibuni siamini kama nyie wa2 mtaniweza.. je wakija Mentor Ntuzu na kunguru mjanja
#KTBFFH
Poti b5-click unataka kunipora usingizi wangu cute b na everlenk?
Duh mbona unataka kunipa shida! Naona unatoa ofa za nguvu!
Wajameni ntaweza mie kuwazuia hawa viumbe dhidi ya ofa zako?
Joking brother! Ligi imekwisha hakuna tena tambo zozote bora kupiga story na wapendwa wetu marafiki km hawa!
Pamoja sn wakuu
Mpaka leo najiuliza Messi alifungaje lile goli la kichwa katikati ya mabeki warefu Rio na NEmanja?
teh.. teh.. teh.. nikikulipia yako mwenyewe tukirudi utaanza kunisema vbaya kwa watu.. bora tumalizane heshima iwepo.
![]()
Ilikuwa ni hili la 2009 au!???
Ohhh!!! Bado mnadalaliana mumy? Hana jeuri hiyo utamfanya awe maskini bure aje akuanzishie na Uzi hapa......
Hahahahah... ukiona nimemwanzishia uzi ujue wa kumsifia kwa kile alichorithi toka kwa mama yake.. na jinsi anavojua kukitumia.. karibuni siamini kama nyie wa2 mtaniweza.. je wakija Mentor Ntuzu na kunguru mjanja
#KTBFFH
Mweeeeeeeeeh. Alikusindikiza kwa huo usafiri?
Ntuzu unatumia simu gani pic zako mbona hazifunguki? Au ndo mkulimaHahahaaa
Hahahaaa
Nilimwambia nu uchi nazani aliogopa kubakwa
Hahahah... we mwanamke hatari eti!? ila ntakufundisha kwann niliumbwa mwanaume kamili.