Hivi Herrera ni kabila gani jamni nauliza
Atakuwa ni mchaga tehe tehe anatafuta magoli kwa hali na mali
Hivi Herrera ni kabila gani jamni nauliza
Kocha naye unazingua, van persie alitakiwa aanze hii game.
Atakuwa ni mchaga tehe tehe anatafuta magoli kwa hali na mali
katika ubora wangu
hivi herrera ni kabila gani jamni nauliza
MmawiaHivi Herrera ni kabila gani jamni nauliza
Kuna kijana kafanya mambo mazuri uwanjani duuu....!nilikuwa nishakata tamaa ila mamy falcao sio....heheheeee kwake kumbe hujawah kufika b4 eee ni mbalii apo bado hujapanda punda na meli....
Ndo half tym still 1-0
Aisee mmh

Yan sijui ni kwann,nikiwa nasoma posts humu ndani huwa natumbukiwa nyongo zikianza posts za kiingereza anazocopy na kupaste Bw.Rutashubanyuma....aaaaghhh..
Hahahaaa kikristo hakipandi eee? Natania mkuu
Ujue izo ni live update sasa akianza kutafsiri atapitw na matukio