Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu jana Manu ilishinda lakini walicheza hovyo sijapata kuona sijiu kwanini Sir Alex hakununua kiungo mshambuliaji.Halafu kuna huyu kijana Chokora Bebe kupiga cross mgogoro kanunuliwa 7 milioni bei yake sawa na Van dar vat wa Toternham.

Mwaka huu sijui tutashika nafasi ya ngapi utumbo wa jana sina hamu kabisa nakwambia tukikutana na timu nzuri tutapigwa mabao ya kufa mtu.
 
Am just curious...hivi hii ndo staili yetu ya kukusanya pointi msimu huu au?....LOL!, ushindi kama huu ni mtamu sana, 'coz, una ladha sanaaa...though ni completely headache.

BTW; Ngongo; Utupe taulo mapema hvo kaka, safari bado ndefu sanaaaa!
 
Tena KiManUManU wana bahati sana baada ya Wolves kusawazisha, yaelekea kocha wao alikuwa anataka droo ndio maana alisikika akisema keep the ball na jamaa wakaanza kucheza triangle, squeare na recangle mara chubwi mpira ukawaponyoka.
 
Cheers to Newcastle and Liverpool for making our Weekend, kwa niaba ya Man Utd Fans, Asanteni sanaaaa!..LOL!
 
Mkuu trust me Man Utd wangeinquire kuhusu Van Der Vart asingeuzwa kwa bei waliyomuuza kwa Spurs simply kwa sababu Real hawakuwaona Spurs kama rivals wao kwenye champions league.

Jamani mpeni Bebe a break juzi wakati wa mechi ya Bursaspor kila mtu was singing him praises jana kachemsha mechi moja mshaanza kumtusi, heck ata Nani na Ronaldo walivyoanza walikuwa na makosa madogo madogo kama hayo took them at least 2-3 season kuhit. Bebe ana potential, speed na strength anatakiwa afanye mazoezi.

Kuhusu msimu huu kufanya vibaya titles aren't won in November or December but at the end of the season having said that msimu uliopita kipindi kama hiki tulikuwa na point 25, msimu huu tuna point 23 kwa hiyo we aren't doing so bad ukizingatia misuko suko tuliyoipata mwanzo wa msimu.
Otherwise ushindi wa jana ndio unaotufanya wengi wetu tuipende hii club ingawa tulicheza vibaya.
 
Tena KiManUManU wana bahati sana baada ya Wolves kusawazisha, yaelekea kocha wao alikuwa anataka droo ndio maana alisikika akisema keep the ball na jamaa wakaanza kucheza triangle, squeare na recangle mara chubwi mpira ukawaponyoka.
Heheh kumquote mtangazaji wa match of the day "It is one of the oldest stories in football, Manchester United stoppage time winner" ila kushabikia timu hii kunataka moyo mchungaji maana dakika 90+ zinakuwaga ndefu sana, agonizing na nerve wrecking.
 
Waungwana tuna hali ngumu sana kwenye mechi ya kesho, tukipata draw nitashukuru sana.

Sir Alex Ferguson says Manchester United are in the midst of an injury crisis as he confirmed Owen Hargreaves will be sidelined for up to five weeks. Hargreaves made his first start for over two years against Wolves on Saturday, but he lasted only five minutes before being withdrawn with a hamstring problem. "We were at the stage where we knew Owen's knee was okay," Ferguson told Key 103. "His
training performances for eight or nine days previously had been terrific. "He had done really well, which is why we
took the chance, but maybe the tension in the build-up for the lad was too much and he suffered because of it."

Hargreaves was pressed into service due to a lack of options, with Ryan Giggs also sidelined with a hamstring problem and Nani struggling with a groin strain. "Ryan is out," Ferguson said ahead of the derby game at Manchester City on Wednesday. "Nani is doubtful.

At this stage it doesn't look as if he will make it. It is not a great position for us to be in. We are counting heads at the moment." A virus has also swept through the camp and Ferguson says he is unsure who will be available for the trip to Eastlands. "We've no idea at all [on a side]," he said.

"We've still got some players out with 'flu and we've sent some players home. We're not in a good position at the moment, but we have a strong squad. We just carry on."
 
ila wenzangu mbona angalau nyie kina arsenal,chelsea na man utd mpo ktk ushindani wa ubingwa,sasa mngekuwa washabiki tena wafurukutwa wa timu kama yangu ya Nottingham Forest ingekuwaje si mngekufa kwa ugonjwa wa moyo,BP ,Shell na Agip kabisa lol!
 
Tumuage mmoja wa legends wa Old Trafford na kumtakia mafanikio mema kwenye kazi yake ya ukocha wa Molde.

Record yake,
As a player at Manchester United
Premier League (6): 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03, 2006–07
FA Cup (2): 1998–99, 2003–04
Champions League (1): 1998–99
Intercontinental Cup (1): 1999

As the manager of the Reserves at Manchester United
Premier Reserve League (1): 2009-10
Premier Reserve League North (1): 2009-10
Lancashire Senior Cup (1): 2008-09
Manchester Senior Cup (1): 2009
 
its is ol about winning ugly....siku zote tukiwa ktk poor form huwa t
u
nafanya maajabu....keep ur head up...go go go go united!
 
Nimepita tu kuwasalimia, naona mnapumulia mashine watani wenu wamewashikilia. Kwetu washika bunduki tunaongoza!
 
@genekai....nt ril pal, i guess huangalii game....leo ama zetu ama zao
 
@genekai....nt ril pal, i guess huangalii game....leo ama zetu ama zao
Mkuu mechi bado iko balance lakini nahisi goli la kwanza upande wowote litaamua hii mechi, Citeh wanaonekana wako pumped up zaidi, Tevez na Yaya Toure wanakuja kwenu vibaya, wakati Berba, Nani, Park wote kimya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…