Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona unaleta ubishi usio wa maana arifu...tactical change ilikuwa kutokana na Smalling kuelemewa na spidi ya Palace...

Kuhusu next game dhidi ya Goons, siongi chochote zaidi ya kusubiri dakika 90 ziamue..

Hahaha kauli hiyo inaonyesha kuwa unajua tunakuja kuwapa kipigo cha mbwa mdokozi jiko la mama ntilie.
 
Malafyale naona unapoteza bet mkuu. Mpambe wa Fergie, Pardew ameshindwa kuwasaidia kwa namna moja au nyingine.
 
Man United have now made 29 defensive errors in the league this term, only 3 have led to goals. One man to thank...

Source: squawka

DDG anastahili kulipwa zaidi ya mchezaji yeyote pale United...
 
Fanyeni juu chini DDG asikimbilie kwao ama sivyo mtajiunga na Liverpool kugombania Europa League spots. Jamaa kaokoa vipigo vingi msimu mzima, ndiye anastahiki kuwa mchezaji bora wenu wa msimu na kipa bora EPL 14/15

Kumbuka alisajiliwa ili afanye kazi hiyo..... ndio jukumu lake hilo
 
Daah yaani leo man u wamenifurahisha sana...
Bado naendelea kuwaombea wachezaji walioumia wawe poa soon kwa ajili ya kuingia kweny mpambano ujao
God bless Manchester United na fans wake

Mumy leo Nina furaha acha kabisa, asante Mungu kwa kujibu maombi yetu......
 
Back
Top Bottom