Huyu Evans huyu alikuwa na nafasi ya kuosha huo mpira sijui akataka kufanya nini.... dah

Smalling naye kaumia? Next week tutakuwa na a field day OT. Smalling ndiye beki wenu mzuri so far msimu huu.