Siku zote timu yetu ikifanya vibaya fans huwa tulalamika na kuponda sana...ila kwa hili la juzi wengi wetu tumeshindwa kulalamika badala yake tumeishia kulia tu...yahani majonzi yamekua makali to the extent wengi wetu tumeshindwa onge na kuishia kulia for sure I keep asking myself what went wrong mpaka tumeshindwa hata draw...mi mpaka nimeliota game...wanamanchester wenzangu mi kwa kweli jana nimeumia sana..kwangu imekua hard to swallow
Hilo ndiyo bonde la mauti na machungu yake hamkulipita kitambo huu ndiyo mda wenu na nyie kusikilizia machungu but yataisha tu kama team nyingine zilivyopita
Tumepita msimu uliopita yatosha sasa, now tulitakiwa tupumzike......
Siku zote timu yetu ikifanya vibaya fans huwa tulalamika na kuponda sana...ila kwa hili la juzi wengi wetu tumeshindwa kulalamika badala yake tumeishia kulia tu...yahani majonzi yamekua makali to the extent wengi wetu tumeshindwa onge na kuishia kulia for sure I keep asking myself what went wrong mpaka tumeshindwa hata draw...mi mpaka nimeliota game...wanamanchester wenzangu mi kwa kweli jana nimeumia sana..kwangu imekua hard to swallow
Ngoja tu-focus kwenye game ijayo dhidi ya Everton pale Goodison Park!
Who is Red? Who is die hard fan?
Tumepoteza mechi tatu mfululizo kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 13 na kukosa kufunga katika kipind hiki tangu mwaka 2007 na michezo hii ikiwa ni jumla ya SAA 4 na dakika 45, inaumiza sana lakini hatupaswi kukata tamaa bado nafasi tunayo tupambane mpaka dakika ya mwisho kitaeleweka tu.
Wana Mu family msijifiche tokeni kwenye mahandaki mliyopo hii ndo MANU yetu hatuna budi kujadili nini kinachotukumba,nini kifanyike basi ili jahazi liokolewe katika mechi zilizobaki. ..........GGMU
Iam Red.... how about you? cute b RRONDO kitwala Belo Nzi Bulldog Mbeky [MENTION=152495 [B]DonDonald[/B] chiko18 mfarisayo MussoLIN sister Ngongo privacy
#MANUfans
Who is Red? Who is die hard fan?
Tumepoteza mechi tatu mfululizo kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 13 na kukosa kufunga katika kipind hiki tangu mwaka 2007 na michezo hii ikiwa ni jumla ya SAA 4 na dakika 45, inaumiza sana lakini hatupaswi kukata tamaa bado nafasi tunayo tupambane mpaka dakika ya mwisho kitaeleweka tu.
Wana Mu family msijifiche tokeni kwenye mahandaki mliyopo hii ndo MANU yetu hatuna budi kujadili nini kinachotukumba,nini kifanyike basi ili jahazi liokolewe katika mechi zilizobaki. ..........GGMU
Iam Red.... how about you? cute b RRONDO kitwala Belo Nzi Bulldog Mbeky [MENTION=152495 [USER=37329]DonDonald[/USER] chiko18 mfarisayo MussoLIN sister Ngongo privacy
#MANUfans
Duh ukweli ni kwamba nimeangalia mechi zote kuanzia Chelsea,Everto & hawa vibonde hata jina limenitoka nilichokiona ni possession sana hakuna attemtp za maana itabidi tubadilike sana hasa umaliziaji.
Me too im Red forever no matter wat happn....
Ila daah ujue fans weng hii mech ya juzi imetusikitisha sana...tumefungiwa nyumban kabisa. Ilinichukua muda sana kurudi kwenye hali ya kawaida.
Nashindwa kuelewa ni kwamba wachezaji hawafanyagi mazoezi au? Maana kama mechi ya juzi tuliongoza kwa possession na pia kick on talent ila sasa sielewi ni nini kilikuwa kinashindikana pale golini.
Ilifika mahali nikatamani droo ila pia nayo ilishindikana everlenk.
Kwa kweli safari bado ndefu.
Nowdays possesion without scoring as many as we can and win the game is nothing...Me too im Red forever no matter wat happn....