Nani anaikumbuka hii picha...mwanzo wa msimu!
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
you only saw Welbeck?
signing kama Mohamed sala? ndo nzuri sio?
fahamu kuwa Transfer ni gamble inaweza isilipe au kulipa
lakini i can assure you we make a TOP DM and TOP STRIKER plus a group we have we are done
utakaa hivyo na kukariri...
ilikuwa 9 years without any silverware tumeondoa na on top of that tunaongezea na FA tena mwaka huu...upo?
so mambo ya kukariri kuwa haiwezekani sijui nini utajua mwenyewe 2n place + FA massive step up for tittle next season
hasiyetaka anywe sumuuuuu
alafu we ni timu
#Wakaangasumuuu
poleni sana majirani zetu tukija OT tunakuja na Bulldozer la kuzamisha jahazi lenu mshikilie nafasi ya NNE
na habari ya Romney kuumia ni mbaya sana kwa wapenzi wa soka lakini hakuna jinsi kipigo kiko pale pale
Nzi na mfarisayo mwambie na Belo
tukija mjiandae kuziba pengo la Romney na Magari yenu ya mkaa akina RVP na Falcao a.k.a Creopatra
khekhekhekhekheeeeeeeeeeeee
Man United fear Wayne Rooney's season is OVER with knee injury he suffered against Everton - Mirror Online - Man United fear Wayne Rooney's season is OVER with knee injury he suffered against Everton - Mirror Online
kashengo,
Tatizo la Arsenal kwa sasa ni kocha ,mnahitaji kocha mwenye mbinu mpya.Sidhani kama Wenger anaweza kushinda EPL ya sasa.Nafikiri umeona Klopp ameamua kubwaga manyanga baada ya kuona mbinu zake zimefeli
kitu amabacho mashabiki wa arsenal you are good at ni mwanzo wa msimu kusema this is it - msimu huu tunabeba EPL na mwisho wa msimu kuja na kauli mpya next seasom wenger akiongeza wawili watatu mtatushikia mbali hizi kauli zimekua zikijilirudia mara kwa mara.
someone should say enough wenger, maana najua hata wewe deep inside your heart umeshachoshwa na kutolewa Cl robo fainali kila mwaka na pia kuambiwa kauli za miaka kumi bila EPL, thanks God mwaka jana lilipatikana FA maana hali ingekua mbaya zaidi ila hata kama bado kunauhitaji mkubwa wa ndoo wa EPL hata wewe unalijua hilo
kashengo,
Tatizo la Arsenal kwa sasa ni kocha ,mnahitaji kocha mwenye mbinu mpya.Sidhani kama Wenger anaweza kushinda EPL ya sasa.Nafikiri umeona Klopp ameamua kubwaga manyanga baada ya kuona mbinu zake zimefeli
Wenger mwenyewe anajua tuna point zetu 3,RVP amerudi najua unafahamu historia yake akicheza na nyie hata tukicheza bila striker Metersecker atajifunga
Tacticaly naweza agree kuwa wenger hana uwezo wa kuchukua UCL sio kuchukua League maana amewahi kufanya hivyo na uwezo huo anao ikiwa tu ana watu sahihi na intence criticism hasa kufungwa games kubwa kwa kucheza traditional attacking football amebadilika na kucheza COMPACT games za presha ni ime payback
hope we get a good DM and Striker...na hata hivyo kila jambo lina mwisho ana 2 years left on his contract hope anaweza kuwa na ambtion za kuondoka club ikiwa high
i am only doubting a UCL hii iko nje yake he cannot win it with the way ana approach games many times
Angalia alichukua kipindi gani,kipindi hicho sijui Man City ndio walikuwa wamepanda daraja ,Chelsea ilikuwa timu ya kawaida sio hii ya sasa hivi,msimu ujao Man City watafanya usajili wa nguvu still Mourinho na LVG watafanya usajili kuimarisha timu .Tatizo la Wenger sio pesa,pamoja na kuwa na pesa still anawanunua Chambers,Wellbeck
Ukiangalia makocha wapinzani wake karibia wote ni wageni (LVG,Pelegrini,Rodgers,Mourinho) yeye ana muda mrefu lakini utafikiri yeye ndio mgeni.Ni ngumu sana kuchukua EPL kama unashindwa kuifunga Man United au Chelsea kwa hii ligi ya sasa
Kwenye ubluu. Wapenzi wa soka wa siku hizi mnapenda kukremu pia kula na kutapika matapishi ya pundits. Unaweza kutozifunga hizo timu na bado ukabeba EPL. Man City mwaka jana walishindwa kuifunga Chelsea wakalibeba. Man utd kuna msimu walishindwa kuzifunga Chelsea, Arsenal, Liverpool(enzi kabla ya City kununuliwa na Waarab) na bado wakabeba EPL. Kifupi unaweza kufungwa na timu kubwa mechi kadhaa na bado ukabeba kombe endapo utazigonga timu ndogo vile vile timu kubwa zikafungwa na timu ndogo. A League is game of collecting more points sio mtoano.
LVG still Unbeaten as #Mufc Manager
Mufc 7-0 LA Galaxy
Mufc 3-2 Roma
Mufc 0-0 Inter 5-3 pens
Mufc 3-1 Real Madrid
Hahahahahaha memory laneKuna #WakaangaSumu watabeza...wakati United ilivyocheza katika ICC ni kiashiria kizuri cha namna gani confidences za wachezaji na timu zimerudi...
Bit the hell out of the #Scousers
Bring on the #EPL
We won against LA Galaxy........It was a small club We won against AS Roma......It was just a friendly We won against Inter Milan.....It was just on penalty We won against Madrid.......Ronaldo didn't come in on time We've finally beaten Liverpool.......Maybe their goalkeeper forgot to drink his coffee before the match.... Haters why can't you accept Glorious UNITED!!!View attachment 175372View attachment 175373View attachment 175377
Ndio tumeanza kubeba ndo kama ulivyo utaratibu wetu hakuna cha AS Roma,Intermilan.Real Madrid wala Looserful wote ni kichapo mtindo mmoja.
1.Nazungumzia EPL ya sasa sio ile unayozungumzia wewe ile Wenger alibeba kombe tena bila kufungwa hii ni imposible
2.Man City hakufungwa na Chelsea but alipata point 10 kutoka kwa Man United na Arsenal na magoli ya kutosha
3.Nimetoa refference kwa United ni sababu hii misimu 2 imekuwa mbovu,Chelsea ndio alikuwa competitor so ukimfunga yeye una advantage kuliko unapoifunga timu nyingine
Angalia alichukua kipindi gani,kipindi hicho sijui Man City ndio walikuwa wamepanda daraja ,Chelsea ilikuwa timu ya kawaida sio hii ya sasa hivi,msimu ujao Man City watafanya usajili wa nguvu still Mourinho na LVG watafanya usajili kuimarisha timu .Tatizo la Wenger sio pesa,pamoja na kuwa na pesa still anawanunua Chambers,Wellbeck
Ukiangalia makocha wapinzani wake karibia wote ni wageni (LVG,Pelegrini,Rodgers,Mourinho) yeye ana muda mrefu lakini utafikiri yeye ndio mgeni.Ni ngumu sana kuchukua EPL kama unashindwa kuifunga Man United au Chelsea kwa hii ligi ya sasa
unasahau haraka
msimu wa yote tunachukua ubingwa manchester united ilikuwa club tishio sana
mwaka 2002 nakumbuka Manu waliambulia nafasi ya 3 liverpool chini ya Gerlad Houriel wakapambana mpaka nafasi ya Pili
mwaka 2004 "The invicible" season chelsea pesa walishamwaga crespo,veron,Joe cole,duff, Geremi, Terry, Gallas bila kusahau walikuwa na super season wakamaliza ligi kwa kishindo wakiwa wa pili manure nafasi ya 3
Ushindani upo masiku yote sio rahisi kwa Arsenal kama wangechukua ubingwa kuanzia 2005 baada ya kuondoka Patrick vieira timu yao siku zote ilikuwa incomplete na kuondoka key player kila mwisho wa msimu......rebuliding was an endless process there Credit kwa Arsene Wenger kwa mazingira yale aliyopotia ya kuondoka KEY PLAYERS wakati fulani wawili ndani ya Transfer window sio kazi rahisi
imagine 2007-2008 Msimu ambao Arsenal Walipambana na Manu ambayo in my opinion ni BEST i ever watched hata ile ya 99 sioni ikiifikia hii ya Tevez,rooney na CR7 na Vidic
lakini End of Season Flamini+ Hleb ambao ni Top perfomers wanaondoka....Its a patch road to pass my friend
20011-2012 Cesc+ Nasri wote wanaondoka dakika ya mwisho
next wimdow RVP+SONG
huo ubingwa angeuchukua angekuwa MAGICIAN maana timu ikikosa stability huna utakachobalia may be a Top 4 finish at maximum
nachoweza kusema...kuwekeza pesa nyingi inaleta makombe sawa lakini sio lazima sana cha msingi ni kuwekeza Kwa akili
Liverpool katika season 3 nafikiri wanaweza kuwa wametumia £250mil hivi na tunajua majanga yao
Man city wametumia pesa nyingi sana na sasa wana Ageing Squad na wanalazimika kusuka timu upya sioni wakikaa sawa ikiwa watalundika wachezaji wengi katika transfer moja wanakuja kuhit gear ligi iko katikati
Kushinda League alafu sio tu kuwapiga vigogo peke yao its all about Totall collection of Points lakini pia ujue kucheza na kutopoteza games kubwa
Belo lats be realistic Arsenal hii inahitaji TWO top players to start beating big clubs and dominate maana vitimu vidogo (ukiweka pembeni stoke city) wanapiga sana wanachukua sana points kwao
its a simple strategy kuwekeza in DM and a Top striker
mi nakubali i cannot see wenger lifting a UCL trophy iko too tricky na kama alishidwa na invicibles sasa hawezi tena