Hii ligi kama hudefend lazima utapigwa tuu, na mie nasema wale ambao hawadefend, unawaambia wadefend wanakaidi, wanajifanya wao ndo wanajua kila kitu wapigwe tuu. Maana tumechoka sasa.
Mpira hauna adabu, #teamFalcaoout .
Ww huwezi mfunga Arsenal wala Palace
Well, they defended very well ndo maana Utd hawakufunga goli hata moja.
Kumbe tunakubaliana then. School-boy defensive errors, is simply poor defending.
Haya wale mnaopinga kudefend mtasemaje tena leo?
Je, mtalalamika tena kama wiki iliyopita au mtauchuna kwa sababu ni Everton?
Man Utd, as usual, had possession of the ball, lakini wamepigwa 3 kavu.
Kama hudefend then kushinda Premier League utasikia kwenye bomba.
Msimu ulioipita Liverpool hawakushinda ligi kwa sababu walikuwa hawadefend.
Hamna namna nyingine, wafungwe tu...hahahaha! Nawapa pole mashetani. Ngoja na sie tukapige na nyie wapaki mabasi!!!
Mwanzoni mwa wiki hii Wenger alisema game Chelsea rahisi wanadefend,morinho akamjibu juzi kwamba Kama kudefend rahisi mlitandikwaje na Monaco 1-3 nyumbani
Akasemaje?
Kuna normal footie defending na parking the bus defending...these are two different tactics.
Everton didn't park the bus. Yes, they defended brilliantly, and won. United didn't defend well, they lost.
Rentboys didn't only defend, they also parked the bus, and won in anti-football fashion.
Sometimes bora mara mia kupaki bus, kuliko kupaki baiskeli na kuishia kufunguwa.
Defending has always been part and parcel of the game. So, it is not anti-football to defend.
At the end of the season the team which wins the titled is the one which defended well.
Let's watch the next game.
Carrick ana kismart na ushindiDuh ila nimeamini we are nothing without Michael Carrick, we really need him back
Mahsusi kwako. Timu kama everton kumfunga Man u timu yenye historia kubwa sana england sio ajabu. Ni sawa na Mikia FC / MAJIZI FC / Simba FC kumfunga Yanga sio ajabu kabisa.
79' Everton 3 Man u 0
Man U ndo timu bora ya karne wala usijute kuipenda.