victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,064
Daaaaa kudadadekiii
.. Yaaani nakumiliki kote mpiraaaa wanaumeee tumekalia tatuuu kavuu
yaniiii siamini
..
Hali siyo nzuri...😡
Daaaaa kudadadekiii .. Yaaani nakumiliki kote mpiraaaa wanaumeee tumekalia tatuuu kavuu yaniiii siamini ..
Hapo ndo uone ball possession bila malengo ni kupoteza muda! Man u have significantly dominated in terms of ball possession but have less shots on goal! How can you win a match if you are just passing arround the ball without focus on the goal?
Ili ujue Mpira hautabiriki na unadunda,sisi Chelsea tunaoongoza ligi tumewafunga man u kamoja,Leo wanapigwa 3-0 kirahisi na everton
Next game ni muhimu kushinda kupinguza pressure,top four sina wasiwasi wapinzani Loserfool wanapaswa kushinda game zote zilizobaki na kiukweli hawana ubavu huo
Umerudi tena eeeeah ??Kuwafunga Liverpool mkajisahau sana na mkajiona nyie kama Barca ya Uingereza
Nawaambia hapa tena wiki ijayo na WBA mna taabu sana!Majogoo tunacheza CL
Kuwafunga Liverpool mkajisahau sana na mkajiona nyie kama Barca ya Uingereza
Nawaambia hapa tena wiki ijayo na WBA mna taabu sana!Majogoo tunacheza CL
CL kwako ndoto ya mchana.
Ili loserfools wacheze CL wanatakiwa kushinda mechi zote 5 walizobakiza huku wakikesha kwenye nyumba za ibaada kuwaombea man u, arsenal na man c wapoteze mechi mbili au tatu.
Hapo ndo pagumu, nyie shindano lenu Carling Cup
Haya wale mnaopinga kudefend mtasemaje tena leo?
Je, mtalalamika tena kama wiki iliyopita au mtauchuna kwa sababu ni Everton?
Man Utd, as usual, had possession of the ball, lakini wamepigwa 3 kavu.
Kama hudefend then kushinda Premier League utasikia kwenye bomba.
Msimu ulioipita Liverpool hawakushinda ligi kwa sababu walikuwa hawadefend.
Come on EMT, you are better than this. Everton hawakupaki basi arifu...
Wamecheza fair game...kumiliki mpira kwa asilimia kubwa siyo lazima kutokane na timu pinzani kupaki basi.
Leo school-boy defensive errors zimeicost timu....
Tena mliwafunga kwa mbinde, ajabu Evaton kawaua kikatili mpra bana una maajab yake!