Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Danny Wellbeck "New Thierry Henry "

On your dreams .... ...

Natumaini uliona Olivier Giroud baada ya kuingia alivyokuwa anamiliki mpira, Webeck is good kama winger sio central striker hana mbinu za kumiliki mpira ukija kwake yeye anataka zaidi kutanguliziwa, sasa siku hizi mabeki ni wajanja sana. OG can control and bring other players into play. njoo J2 uone kama Carhill chijui coholl anaweza kumzuia .... .... ...
another English player hyped by British media.
 

Usitudanganye Mkuu nan asiyejua raha ya mechi n bao, Aisha eeeeeeee eeeeeee raha ya mechi baooooooo
 

Ha ha ha ha og na cahil? He he he he
 

Alaa kumbe nina hasira!

Since when are you a psychologist or something bruv?

Sasa leo unasema financial crisis ndiyo iliyowafanya mshindwe kubeba makombe ama? United imekuwa katika financial crisis toka dem Yankees walipochukua timu, the rest is history.

Hao wachezaji tulionunua na kukopa hawajaonyesha kitu?! Unageneralise hivyo kiaje arifu? Ukitoa Falcao (ambaye ana assists 4 na goli nne, kama New Titi wenu 😂&#128514😉, wengine wote wamecheza vizuri sana kwa msimu wao wa kwanza EPL. Di Maria (licha ya shida za hivi karibuni) ana assists nyingi kuliko hata Nemo aliye msimu wa pili EPL. Herrera, hakuna mchezaji wa Goons kwa namba yake anayeweza kumlinganisha naye. Blind, one of the most versatile players katika EPL. Hata dogo Shaw, licha ya majeruhi kakipiga vizuri tu.

United is on the move chief....this year's target is to get a spot back to UCL. So far, everything is on track...Labda uonyeshe targets za United katika kujustify your baloney kuwa United inamaliza mikono mitupu. Yes, haitochukua kombe lolote, lakini kwa a transiting team, so far so good. United wants to get back into the limelight of footie.

Mbona unajikanganya mazee, unasema tumeshindwa kuattract mastar baada ya kushindwa kwenda UCL, halafu unasema tumetumia bajeti ya TZ kununua mastar. Sasa hapo huoni kama fedha ndiyo inayoongea siku hizi kwenye soka?!? Mbona goons miaka yote mnaenda UCL mlishindwa kuattract hao mastar kama kigezo kikuu ni kwenda UCL?!? Si umeona jinsi pesa zilivyowatoka kwa Nemo na Sanchez? Kwa hiyo hao wangekuja tu kwa vile Goons wanaenda UCL? Kwani R. Madrid na Barcelona zilikuwa hazipo UCL mpaka wawe 'attracted' na Goons walio UCL?!? Mbona hao mastars walishindwa kwenda Loserfools kama UCL ndicho kigezo?!?

Dude, you are talking like a gramps!
 
Just matter of time atabeba EPL medal akiwa na Arsenal. Hivi umesahau ni RVP pekee mwenye FA CUP medal katika timu yenu thanks to Arsenal 2005. Welbeck yupo mbioni kubeba FA CUP medal mwezi ujao. Bookmark this.

RVP,Nasri,Cesc,Sagna walisubiri hiyo matter of time mpaka wakachoka
 


Mmmh. Kazi ipo
 
RVP,Nasri,Cesc,Sagna walisubiri hiyo matter of time mpaka wakachoka

Cesc alikuwa katika payroll ya Invincible alicheza mechi chache as sub msimu ule. Angecheza mechi 10 angepata medal nevertheless alibeba trophy. Hao wengine tamaa tupu. BTW miaka mingapi tangu mmbebe FA CUP? Rooney juzi juzi alikuwa na uhakika wa kubeba ndoo ya FA Cup kwa mara ya kwanza hadi Welbeck alipoiotesha mbawa ndoto. Kila kitu kina muda wake, tuombe uhai tu.
 

Mkuu sorry sana. Nilikuwa sijui kwamba mchezaji( Di Maria) expensive katika ligi kuwa na 4 goals, assists 10 na kusota benchi ni bonge la achievement, Cazorla ana assists 8, magoli 8 na alinunuliwa kwa kiasi kidogo kulinganisha na ADM. Vile vile mchezaji aliyekopwa £20M kwa madai ni big time goal scorer na kulipwa £265K weekly kuzalisha magoli manne tu ni sawa na mchezaji aliyenunuliwa kwa £16M na kufunga magoli 8, 3 assists na analipwa chini ya £100K weekly. Kati ya hao wote ni Herrera na Blind tu ndio pekee wanaocheza vizuri kulinganisha na pesa waliyolipiwa wengine wote hovyo kwa mwaka huu(tusubiri next season). Hivi ni kwa nini "first season" excuse ipo sahihi kutumika kwenu tu, mwaka jana mlikuwa mnapiga domo juu ya Ozil kuwa ni Flop wakati performance yake mwanzoni ilikuwa juu then akapatwa na injuries kama 3 back to back na still aliporudi akawa ana contribute kama kawa. Hao kina Falcao na ADM hawajapata injuries kama alizopata Ozil yet wanasoteshwa benchi na kina Fellaini na Young. Oooh yeah, how much mlilipa kumpata Shaw ? hata kama ni majeruhi kupata benchi ni ndoto kama Blind/Rojo wakiwa fit. Expensive English defender anasugua benchi hahahaha. You got robbed TWICE on the highway in one transfer. Eti mna financial Crisis tangu the Glazers wachukuwe timu, hahahaha danganya wengine. Hamjakuwa na hampo katika Crisis yoyote. Tangu wanunue timu (mwaka 2005)angalia ni expensive players wangapi mmeweza kuwanunua na kuwalipa mishahara minono then fananisha na Arsenal walivyoshindwa ku-keep wachezaji (kuanzia kina Vieira/A. Cole hadi RVP) vile vile kusajili wachezaji wazuri badala ya magarasa (mfano kina Adebabayor Chamakh, Denilson, Eboue etc) sababu hawakuweza kuwalipa mishahara sababu ya Emirates. Ukisema United wamekuwa katika financia Crisis tangu inunuliwe ni kuaibisha timu yako mkuu.
 

Masahihisho,
Falcao amechukuliwa kwa mkopo wa £ 6 m sio 20,LVG alikuwa smart sana kwenye usajili huu kama angesajiliwa permanent usajili wake ungefika £ m 50 kwa hiki kiwango kweli tungekuwa tumepata hasara

Di Maria ni flop kama unavyosema but ana assists 10 na amecheza game chache ukilinganisha na Cesc anayeongoza

Luke Shaw kama ulimuona game na Chelsea nafikiri unaweza ukatoa assessment vizuri,dogo atakuwepo United kwa zaidi ya miaka 10 kama Rio hiyo hela aliyonunuliwa itaonekana ndogo sana.Blind amesajiliwa kama kiungo sio full back but ni versatile player anacheza popote kumbuka Carrick umri umekwenda

Mwisho usitake kufananisha financial power ya Arsenal na Man United,tuna ubavu wa kuja kuchukua mchezaji hapo kwenu but hamna ubavu kuja kuchukua kwetu,now mna hela still mmesajili kina Chambers,Wellbeck
 

Nzi we amini unavo amini na Mimi niache ninavo amini.

Ata Mikey Tyson alivokua anawadondosha wenzake ktk raundi ya 2 au ya tatu watu hawakupenda wakaanza kulalama na kumtafutia mbinu nyingi za kummaliza. Kwahiyo Chelsea kukomaa kileleni sn kwa muda mrefu watu hawapendi

Ata Floyd Mayweather anavojirinda vizuri asipingwe na bondia pinzani hawezi kua Anti-boxer....sasa kwanini José Mourinho awe anti-football eti kwasababu katumia mbinu ya kujilinda asifungwe? Hivi vichekesho aiseee.

Alafu Nzi hii style tumeifanya kwako tu msimu huu...usifikiri msimu ujao kwamba kikosi hakitasukwa kwa kuongeza wachezaji....na pia Abramovic hawezi tena kumfukuza José pale Chelsea km alivofanya pale awali... Na ufahamu kua kipindi hili Mou habuguziwi na tajiri wala kuingiliwa ktk kz zake

Kila mmoja aamini anavo amini tufupishe marumbano Mkuu...

Asante
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni kwamba hata kama timu ikicheza michezo wa kuvutia kwa maana yako wewe utatoka uwanjani umenuna kama umefungwa. Pili unachokipenda wewe siyo lazima na wengine wakipende. Mimi siwezi kupenda timu inayoweza mashuti 15 golini halafu yaliyolenga goli ni mawili tu, halafu katika hayo mawili yanaambulia patupu. Halafu mtu anadai amevutiwa na uchezaji huo!
 


Mtu anapokua haelewi ata haya maelezo bora kukaa kimya.....
 
Mtu anapokua haelewi ata haya maelezo bora kukaa kimya.....

Nyiye fans wa anti-football mna shida kwelikweli!!

Ni wapi nimewalazimisha mkubaliane na ninayosema?!?

Mimi nimetoa mawazo yangu; na hakuna mtu wa kunizuia kutoa mawazo yangu (iwapo sivunji kanuni za JF) hata kama unayoana ni pumba. Eboo!!
 
There have been stories and rumours and speculations about Angel Di Maria - which have been as disturbing as they have been ridiculous. Now, that Angel di Maria has extended his lease on his Manchester apartment can those rumours stop? And if that's not enough... He's gone ahead and had his number 7 tattoo on his very detailed arm. So....
Many people have labelled Di Maria as a failure this season, but I want to disagree. ADM7 himself said he's always struggled in the first season in every new league he's been to. That is normal, but even then, look at his stats and how much he's improved and adapted to the English game! Some people are citing the disagreement he had with LvG after the Liverpool game, but that's also ridiculous. It was just that - a disagreement. Unlike his sweet name, ADM7 has a temper (hehehehe) and he has strong opinions. These things happen.
Di Maria is a game changer. He made a lot of difference when he came in against Chelsea - with deft passes that went behind the defence. And the other that found Falcao offside. Even most astonishing, Di Maria tracked back the most I've ever seen him. He was defending, clearing the lines and making things happen at the back because Tyler, though!


Now, Di Maria may not be able to get on the starting lineup because of Ashley Young's awesomeness! But, nobody can deny he deserves that. I think, just like Mata and Herrera, he'll wow the roof off the world the day he'll start. And even then, why are we complaining? He's an impact sub. Any opponent, after being harassed by Young all game sees Di Maria warming up just feels like hitting van Gaal! He's hot double figures in assists this season... and also scored.
Di Maria will be great. You wait and see. Just to be sure, we all agree Angel Di Maria should remain at OT, right? ‪#‎believe‬ ‪#‎GGMU‬‪#‎uniteddamu‬

 
Nyiye fans wa anti-football mna shida kwelikweli!!

Ni wapi nimewalazimisha mkubaliane na ninayosema?!?

Mimi nimetoa mawazo yangu; na hakuna mtu wa kunizuia kutoa mawazo yangu (iwapo sivunji kanuni za JF) hata kama unayoana ni pumba. Eboo!!

Nzi nimekuelewa kaka.....mpira au ushabiki sio ugomvi Mkuu...

Haya yameshapita Mkuu...tugange yajayo.
 
Last edited by a moderator:

jibu lako lipo chini...


Ibhara na RRONDO haya maneno hamkuyatamka kabla ya mechi. nakumbuka mlisema lazima mtufunge liwalo na liwe...oh form yetu imeshuka..ooh wachezaji wetu wamechoka...blah blah blah. oooh rooney oooh fellaini..oh herera..oh oh oh...

Leo mnajifanya eti we are happy with the performance...performance my ###....tangu lini ulisikia mwanafunzi bora wa mwandiko mzuri wewe!?????? Hizo mbwembwe tu...khe khe khe kheeee


Naomba nikuchokoze kwa hii picha...

 
Last edited by a moderator:

Nakusalimia tu Belo,

 
Last edited by a moderator:

inawezekana nimesahau. hebu lete post ambayo nilisema lazima tuwafunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…