Kocha mzuri ni yule anayefikia malengo aliyojiwekea kwa ajili ya timu yake,! Rekodi yake itakulazimisha umpende tu hata kama ni kimoyomoyo! Kocha mzuri pia hutibua mipango ya adui isifanikiwe! Jiulize je mipango ya man u ilifanikiwa kwenye mechi? Sitegemei umpende kwa wazi mtu anayetibua mipango yako kama alivyofanya Mourinho!
O.M.G English clubs, do u know even Manchester United is English club..... Then that's make us even..don't u know that?!
Dawa yao inachemka ... .... . ipo Emirates J2 pamoja na kupaki kwao basi lazima tuwatungue tu, hawana ujanja.
I wrote, "If that team is English champion, no wonder English clubs currently suck in UCL."
Can you read again the above sentence and write what you wrote?
Man u walisema hivyo hivyo kabla ya mechi, baada ya mechi, umeziona ngonjera za kina Nzi! Na arsenal andaeni ngonjera mapema, kama si wataalam wa Ngonjera mnaweza kuiga za hawa jamaa wa old traford, ngonjera zao tamu lakini tatizo hazitibu maumivu ya kichapo!
Si unafahamu Manure wana ule utegemezi wa brown envelopes? khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee the team in form Europe hivi chacha ni Gunners na chichi hatununui mechi labda huyo Romano awanunue waamuzi wote lakini ni bure tu chichi tutawafunga kwa magoli ya orlando si uliona Stoke walivyowafunga goli la orlando khe khe khe khe khe hekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
"We were lucky to score"....Hazard
http://www1.skysports.com/watch/video/9812462/we-were-lucky-to-score-hazard
Si unafahamu Manure wana ule utegemezi wa brown envelopes? khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee the team in form Europe hivi chacha ni Gunners na chichi hatununui mechi labda huyo Romano awanunue waamuzi wote lakini ni bure tu chichi tutawafunga kwa magoli ya orlando si uliona Stoke walivyowafunga goli la orlando khe khe khe khe khe hekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahahaha!! Usijali tunaanza kupona naomba maoni yako tafadhali juu ya hiyo kauli ya Hazard......
Nzi England kumekua na mashambulizi mengi sn kupitia media blogs na forums mbali mbali....na ktk hayo mashambulio 130000 yaliekelezwa kwa Chelsea Fc.
Kumiliki mpira sio kupata points 3.....au kuonyesha mpira Wa burudani sio kufikia malengo ya club ktk kuchukua makombe.....
Looks like Cleverly and Welbeck are going to the FA CUP FINAL while the Flops (Falcao and ADM) keep collecting their paychecks LOL.
For me it is not bad even if Man U lose the game against CFC,kwa mtu yeyote anayefuatilia soka atakubali kwamba timu ilicheza vyema na ina madiliko makubwa tofauti na msimu ulivyoanza na msimu uliopita
Kilichoi-cost timu jana ni kukosekana kwa striking force,Falcao alipwaya,na kwa mechi kama ile ilihitajika nguvu ya Rooney.
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
Kumbuka pia Wellbeck na Cleverly wana medali ya EPL while hakuna mchezaji mwingine wa Arsenal mwenye hiyo medali
Nzi unahitaji therapeutic intervention ku-combat anger uliyokuwa nayo baada ya kufungwa jana otherwise tutasikia Mtanzania kajiunga na Waganda na Wakenya kujiua baada ya Manchester United kufungwa. Unalalama kuwa Chelsea hawajacheza mpira wa burudani kitu kilicho kweli, dunia yote inajua staili ya Mourinho, anti-football.Then hapo hapo unapiga madongo Arsenal kwa kupenda kucheza mpira wa Burudani bila kubeba kombe. Vipi umesahau tulikuwa katika financial crisis iliyosababisha kwa upande mkubwa kushindwa ku-keep mastar wetu pia ku-attract mastar? Na bado tulikuwa katika competition ya kubeba makombe, but tuli-come short in several occasions (overall). Mwenyewe umeona jinsi mlivyoshindwa kuattract mastar baada ya kushindwa kuingia UCL msimu huu na mkalazimika kutumia bajeti ya Tanzania kununua na kukopa wachezaji ambao wengi wao hawajaonyesha jipya lolote. Pamoja na kutumia pesa zote hizo mnaelekea kuondoka mikono mitupu. Cha ajabu bado una guts za kusimanga ARSENAL. Unasifia burudani yenu na kupiga madongo burudani yetu. Burudani yetu imetufikisha two FA CUP FINAL back to back brother! (Hulk Hogan voice). God wishes tutalibeba kombe mara ya pili. Elekeza hasira kwa rentBoys wanaobeba kombe bila ya kucheza attractive football, though United na wao walishabeba hili kombe mara kadhaa bila ya kucheza vizuri msimu mzima. Sometimes football works like that.
Welbeck habebeki ni hype na media ya UK tu ndio wanawapandisha kuhusu medali, hizo ni pumba tu MK Dons waliwatoa kamasi wana medali gani? Endeleeni kujiridhisha nyie tunafahamu bila brown envelopes ni watupu tu hamna lolote ... ... .. ding dong khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kumbuka pia Wellbeck na Cleverly wana medali ya EPL while hakuna mchezaji mwingine wa Arsenal mwenye hiyo medali