Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
Wanadai ni Master class. Mourinho ni mviziaji tu, anapaki basi halafu anasubiri timu nyingine zifanye makosa. Anyway, kuna siku bahati zinakimbia kama vs PSG. Jumapili ijayo atacheza hivi hivi 3 defenders 2 defensive Midfielders, then atasubiri Arsenal wafanye makosa yao(cannot blame Chelsea tukifanya makosa) kama ilivyo kawaida ya Arsenal vs Chelsea OR Arsenal vs Manchester United.
Tutalipaki basi tena siyo ehhh?? Sawa.....
):??Dawa yao inachemka ... .... . ipo E!mirates J2 pamoja na kupaki kwao basi lazima tuwatungue tu, hawana ujanja.
The history men..mi nilitaka uniambie kwa game ya leo. Exceptionalitu yenu ilikuwa wapi?
Mou anajua mlichokuwa mnataka ndiyo maana kafanya.
Heheheheheh ngoja nicheke defensive midfielder ka assist goli la ushindiiiii hahahahahahahha...
Thank you rubaman
Wanadai ni Master class. Mourinho ni mviziaji tu, anapaki basi halafu anasubiri timu nyingine zifanye makosa. Anyway, kuna siku bahati zinakimbia kama vs PSG. Jumapili ijayo atacheza hivi hivi 3 defenders 2 defensive Midfielders, then atasubiri Arsenal wafanye makosa yao(cannot blame Chelsea tukifanya makosa) kama ilivyo kawaida ya Arsenal vs Chelsea OR Arsenal vs Manchester United.
Dawa yao inachemka ... .... . ipo Emirates J2 pamoja na kupaki kwao basi lazima tuwatungue tu, hawana ujanja.
The history men..mi nilitaka uniambie kwa game ya leo. Exceptionalitu yenu ilikuwa wapi?
Mou anajua mlichokuwa mnataka ndiyo maana kafanya.
Heheheheheh ngoja nicheke defensive midfielder ka assist goli la ushindiiiii hahahahahahahha...
Thank you rubaman
It's all about strategies, tunataka kushinda tutafanya hivyo tu.
Unakumbuka nilikuambia hata kwa njia za panya
Wacha fujo weweeeee msibani, halafu na wewe unaanzaje kucheza na reading madakika mengi hivyo? Hongera kwa ushindi......Nasikia mmekula mkong'oto leo khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Game ya leo only Drogba na Hazard ndio wamecheza kwenye half yetu the rest wote mlikuwa nyuma (Iva, Azpi, JT, Cahil, Oscar, Matic, Zouma) wote walikuwa kwenye half yenu , Assist hata beki anafanya assist
Hata nami si nilikwambia jana utashinda kwa unazi Au......
Hapa nilale kwanza nikitoka ibadan asubuhi nitakuwa na cha kuchangia hapa.
"It's not always the better team that wins" lvg
Wakati tulikua tunayachambua haya kabla ya mechi hii ktk thread yetu kule mlikua mnapita Na picha zenu za shetani Na jambia lake lkn kwetu sisi tulijua kabisa kua hivi ndio itakua...