Ni mapema sana kusema Di Maria ni flop, huu ni msimu wake wa kwanza tu msimu ujao naweza kuwa mzuri hadi ukala matapishi yako, kwa ilikuwaje kwa fellain na hata Mata? watu walisema tumeuziwa magarasha leo hii ni wachezaji bora kabisa. Inaweza kutokea pia mchezaji akaanza vizuri badae akafulia Ozil wa leo ni sawa ni yule wa round ya kwanza ya msimu uliopita? Alexis mwenyewe mzunguko wa kwanza alikuwa moto sasa hivi hoi