Hahahaha!!! Umeona umeshindwa umeamua kuomba usaidizi wa b5-click?? Bora yetu siye kuliko nyie madivers, parking areas wazur, wanamieleka wazur na wengine waleeee tumuulize yule nani wa PSG???? Hahahaha staki nikuumize mtani wangu ......yaishe bana...... Lol.Hahahaaa mtani na wewe unafunguka hivi? Ngoja nikuitie b5-click maana yeye ndio anakuweza....akianza na De Gea anafanya kz ya mabeki...mabeki wanafanya kz ya viungo...viungo wanafanya kz ya kufunga ya mastrikers...mastrikers wanafanya kz ya mashabiki ya kushangilia...mashabiki wanafanya kz ya ukocha kupanga timu gani icheze na kocha LvG kz Yake kubeba mavitabu makubwa km anafundisha udaktari......hahahahaaaaa b5-click we kiboko Mkuu!
Hahahaha ... haya sasa jamaa keshagonga hodi
Hapo kuna option mbili.....
1: Fungua mlango jamaa atumie shoka lake kistarabu kwako au 2: Kataa kufungua mlango jamaa atavunja mlango kwa nguvu na kutumia shoka lake kwako katika hali ya kutisha sana
Ushauri wangu kwa Chelsea : mnachotakiwa kufanya wekeni mabeki wengi na viungo wengi kama vipi msiweke mshambuliaji, mpira ukianza tuu pakini bus,treni,meli mpaka mpira utakapoisha ili matokeo yawe ya kuheshimika kwenu kwa kufungwa kwa tabu.
Mkijifanya kupanda na kushambulia, baada ya mechi kila washabiki wa timu zingine watakuwa wanawacheka kwa dhahama itakayowakuta
Asante Bulldog kwa picha
Ntuzu ushauri huu uchukueni na muufanyie kazi, hata Malafyale keshakutahadharisha kuhusu hatari ya kucheza na timu bora Man Utd kwa sasa.
Ni ushauri tu wakitaka wachukue wakikataa tusilaumiwe.
Baba yako Mournhio ndo katufundisha kuongea, kufunga raha sana yaani unatembea kila mahali kwa raha....... Sisi tuna maneno lakini hayajafika ya kwenu...... Mlitunyanyasa sana Mara vibonde, mtaa wa 7,tumeshuka daraja, new trafford n.k .......wacha tupige kelele tu.....tarehe 18 tunafunga kazi. Lol
Hahahaha!!! Umeona umeshindwa umeamua kuomba usaidizi wa b5-click?? Bora yetu siye kuliko nyie madivers, parking areas wazur, wanamieleka wazur na wengine waleeee tumuulize yule nani wa PSG???? Hahahaha staki nikuumize mtani wangu ......yaishe bana...... Lol.
Mkuu hebu tueleze humu Chelsea miaka ya 2000 mlikuwa mnajazana vijiweni au mitandaoni kama hivi?Hahahaaa yani nikipita humu najikute nacheka tu....kweli mashabiki Wa ManU mmefufuka.
Msimu uliopita mdudu Nzi alikua anakomaa peke Yake...na ata mwanzoni mwa huu msimu mlikua wapole lkn sasaivi duh....ata mitaani ni vurugu...maofisini ni vurugu...humu Jf ndio usiseme...kila notification nayopata ni iko kwa michezo tu....safi sn lkn na inapendeza sn tu kua na maneno hivi.
Takataka zote zinajulikana mahala pake..
Ungekuwa karibu ningekufinya shavu, wenzako hapa tunaomboleza...Ooh, shauri yako!.Hongereni Man Utd wenzangu..Safi sana chama letu!!
Man U ya hovyo hovyo ya beki akina Blackett hukumfunga ndiyo awe Man U huyu aliye pick up ?
Kumbuka kipindi hicho Chelsea alikuwa kwenye kiwango kikubwa sana cha Costa na wenzake!Nimewaona na Stoke na QPR aibu tupu!Mnategemea makipa wafanye makosa mfunge
Drogba hawezi msunbua beki Jones hata wacheze dakika 300»»»fact
How Man United fans see Marouane Fellaini
Tulikwenda OT bila ya Costa na huyu huyu Drogba unaemzarau akatupia...au unajifanya umesahau?
Hiyo pick ya ManU ni kwa timu yako tu na man city lkn juzi tu Arsenal kuwapiga hawa ManU na kikosi hichi hichi kilichokupiga wewe tena OT kwao...sasa ndio ije itutishe sisi tuna kila kitu alafu tuko home?!!?
Mtasubiri sn aiseee.
Hayaaa bana mimi kimya, the time will tell .......
Hahaha mtani siku hiyo ukinifunga si ntapata tabu mie kwa maneno yenu? Maana duh....
Anyway ndio mambo ya mpira tambo za hapa na pale lazima ziwepo.
Hahahaha!! Mtani usijali. ...tunajaza jukwaa hapa......
Hilo jina linatisha halifai kutamka kwa sauti utashitakiwa na Arsenal, Chelsea kwa kutishia kuua.
Mkuu hebu tueleze humu Chelsea miaka ya 2000 mlikuwa mnajazana vijiweni au mitandaoni kama hivi?
Na nyie kutoa droo wala kutufunga msahau!! daraja kazi linayo hiyo siku!! as i told u hutaamini macho yako!!Vyovyote vile mtakavokuja kunifunga hilo msahau kabisa!
Na nyie kutoa droo wala kutufunga msahau!! daraja kazi linayo hiyo siku!! as i told u hutaamini macho yako!!
Nadhani hilo ndilo jibu ulitakiwa toa.Good..! Tuwe na subira
Vyovyote vile mtakavokuja kunifunga hilo msahau kabisa!