Timu yenu imeshachoka na kocha wenu hana plan B kizuri ni kwamba mlishinda game nyingi mwanzo, Man United kwa sasa timu imetulia idara zote. Young, Mata, Rooney, Fellaini, Herrera wote wanafunga magoli
everlenk usisome hii post lol.Unaizungumzia utd hii ambayo..
Da gea anafanya kazi za mabeki.. Mabeki wamegeuka viungo... Akina Fellaini ndo wamekua washambuliaji... Washambuliaji wamekua mashabiki... Akina falcao na RVP kazi kushagilia magoli ya mabeki... Mashabiki wenyewe mnafanya kazi ya van Gaal... Van Gaal kazi kubeba mavitabu makubwaaa kama anafundisha udaktari...
Hahahahahah... Karibuni darajani wazeee
Mkuu sio nyie mliokuwa mnasema hatutoki kwa hawa mnaowaita vibonde......leo hii....Sasa huyo Fulaini ni top mid za EPL au mmelewa kwa kuwafunga hao vibonde Spurs, LFC na Man city?
We njoo darajani uone moto!
Mkuu sio nyie mliokuwa mnasema hatutoki kwa hawa mnaowaita vibonde......leo hii....
Ashley young for balon d'or
Mata aliuzwa kwa fitna tu. Hakuna technical reason. Sahv mata anaperform.
Uliwahi kuona Mimi nasema hivo? Hebu kagua post zangu huko nyuma alafu ulete hapa unionyesha!
Mi ninachokijua mnaweza kuwafunga hao wengine lkn sio Chelsea! Mkifika kwa Chelsea lazima mjue mnapigwa!
Ashley young for balon d'or
Mkuu mechi ya city ulisema tunafungwaUliwahi kuona Mimi nasema hivo? Hebu kagua post zangu huko nyuma alafu ulete hapa unionyesha!
Mi ninachokijua mnaweza kuwafunga hao wengine lkn sio Chelsea! Mkifika kwa Chelsea lazima mjue mnapigwa!
[quote name="everlenk" post=12414964]Nafanya kazi ya ulinzi nililala nikaamka hii ndo mida ya wezi inabidi niwe macho kweli kweli,lol[/QUOTE]<br />Niletee ushahidi bhana!
<br />[quote name="everlenk" post=12414964]Nafanya kazi ya ulinzi nililala nikaamka hii ndo mida ya wezi inabidi niwe macho kweli kweli,lol
Unasema haya ili usimuangushe Dada yako everlenk
Tarehe 18 sio mbali nawakaribishs darajani wote siku hiyo.
Najua baada ya Man U "pick up" unahofu sana na ubingwa wako sasa kwani unajua MAJOGOO na striker akiwa Drogba yanakufunga Darajani
Wote hapa sasa wanajua unayaogopa sana Majogoo ya Melwood
Mata ana nini huyu mpk apewe lawama? Huyo anawafaa nyie tu.
Weee bana Ntuzu kwa kweli hapo sikuelewi kwa kweli;Matta katupia kila big games kwa kipindi hiki!
Fellain kawa mtamu Mcharo anasubiri toka Man U hadi team yake ya Taifa
Ifikie hatua tukubali,kwa kiwango cha Man U cha sasa kwa mara ya kwanza msimu huu Chelsea anaingia dimbani Jumamosi kama "under dogs"
Haya ni maneno tu ata kwenye khanga yamo...
Nachotaka kukuambia huyo Mata na Fulaini utawaonea huruma siku hiyo...wewe lazima uwaheshimu kwasababu wamekufunga...lkn kwa Mimi nawaona Wa kawaida tu.