Hahahahaaaaaaaa....sasa kama Spurs alipiga mkono unategemea nini kwa Man U.
Hakuna chochote hapo, Fellain si mali kitu mbele ya chelsea, wewe mwenyewe utamshangaa, Mata alikosa namba pale, hata leo hawezi pata namba. Man u mmepumua kidogo lakini jumamosi hesabuni maumivu! Hapo ndipo panaitwa darajani mwisho wa reli!
Mwambie muhudumu akuongezee na jack daniels moja
Siku hiyo Mata atapewa lawama.za.bure tu....baada ya kupeleka msiba DarajanMrudisheni basi ktk hiyo mechi ili msije mkasingizia Chicharito hayupo!
Mi nashangaa imekua Fulaini Fulaini.....kwa kipi hasa alichonacho huyu?
Siku hiyo Mata atapewa lawama.za.bure tu....baada ya kupeleka msiba Darajan
Muulize yaya toure
Mi nashangaa imekua Fulaini Fulaini.....kwa kipi hasa alichonacho huyu?
Siku hiyo ndo utajua Fulaini ni nani, Angalia mechi ya Kwanza uone Fabrigas alivyowekwa kwapani
Kuna watu watano wakipangwa siku hiyo watatu tu hao viungo wenu watapotea wote!
Umeanza kuweweseka mapema sana
Kuweweseka nini? Mourinho akichagua hao watatu ktk hao watano mnapotea.
Mechi ya Kwanza hakuwachagua? Chelsea kuna kiungo gani wa maana zaidi ya Matic na Fabregas?
Kumbe unawafahamu? Sasa hebu hapo kwa Matic apewe pacha wake Zouma au Obi alafu hao wawili wafanye kz ya kukaba tu! Then huyo Faby, Hazard na Willian wakae mbele tu kukushambulia wakiwa na Remy..uone km utachomoka wewe!
Na hivi ndivo Mou atakavopanga!
Matic lazima asimame na Obi au Zouma siku hiyo kuhakikisha mnakufa kabisa hapo kati!

Chelsea kwa sasa ipo hoi mechi nyingi mnachomoka kwa shida sana gem ya Hull na QPR mlikuwa hoi sana
Mechi ya kwanza hawakuwepo hao wote? Any way tusibishane sana siku hiyo itafika utajionea mwenyewe