Chelsea bana leo Austin tuu kawatoa kijasho, nani was kumzuia Fella pale?
Herrera (The new Scholes)
kama una Mpira afu hujui pa kuupeleka, Mpe Herrera anajua wapi atapoupeleka! Maestro
Yaya Toure kiungo bora England leo kalala na viatu kwa muziki mnene wa Fellain, alishusha pumzi baada ya LVG kumpumzisha vinginevyo hata bao la pili wasingelipata. Sasa pale chelsea nani wa kuzuia Fellain, Young wakati huo Matta ana hasira nao ile mbaya.
Na nyie mrudisheni Lampard msije mkasema mlizidiwa katikati na akina Herrera
Wenye nafasi yetu watupishe
Blind: "I found out how in the 1990s, it was 18-7 for Liverpool, regarding League titles. Then Sir Alex came & by 2011, it was 19-18 to us."
Wakikataa wapigwe tu haina jinsi.
Watu tunapita kwenye taa nyekundu tena mbele ya Traffik itakuwa hiyo Hazard ambayo hata Bajaj inayo....Herrera amzidi nani? Huyo charie atapotea siku hiyo ata huyo Fulaini atapotea kabisa! Mtakua mnamuona Carrick anaanguka na kina Jones hivyo tu. Chezea Hazard wewe na Faby?
Fulaini amsumbue nani sasa kwetu?
Na Mimi nakuuliza hivi ana kitu gani special huyo Fulani mpk awekewe marking ya mtu Wa kumzuia?
labda nikuulize nani wa kumzuia huyo jamaa?
LFC nayo ni kiboko? Spurs? Na city iliyojifia? Njooni mjipime kwa kwa timu bora Chelsea chini ya kocha bora José Mourinho, LvG anamfahamu vzr sn huyu Happy One!
Spurs alikunyoa ngapi vile?
Tumetoka sare zote! Hoja ni nini hapa?
Nenda ukaseme hayo maneno mbele ya LvG na Giggs kwamba Mou ni kocha Wa kawaida sn..wakikukubalia tu ndio basi nyie mabingwa msimu huu!
Tumekutana na spurs Mara tatu ktk msimu huu.
Kwa EPL tuko sawa ktk kunyoana...au hapa hautoelewa mpk nikufafanulie?
Na Mara ya tatu nimemnyoa goli mbili na kombe nikabeba!
sihitaji kombe la mbuzi, nataka epl