hongereni jiraniKuanzia leo usikimbie jamvi hili tena.........
At least prediction yangu ya Aguero kupata brace imetimia au sio Belo
Jamani Carrick vip alipata tatizo gani?
Maana sikufuatilia
Nataman kusikia two weeks out!!!
Nilisema hapa, game kubwa kwetu ni ushindi tu, akaja rubaman na drama zake ati tukipata points nyingi ni 1.
Leo tumechukua 3 next week tunaongeza zingine kama za leo maana najua MOU jicho limemtoka pima.
Ndio uzuri Wa Malafyale timu ikimfunga lazima aiheshimu!
Sasa kukata mzizi karibuni sn darajani muone kz
Kaka tusiongelee pembeni!Kwa striker Drogba anakufunga Man U easy kabisa
Kiwango chemu mechi hizi 3 mfululizo ni cha kuangaliwa kwa jicho la 3
hongereni jirani
Mnadhani mtapangiwa kikosi kile cha kombe la TFF ya England. Karibuni sana OT ndio mtajua Man U nyakati kama hizi anakuaje.