grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ninamshukuru Mungu sana kwa kunichagulia Man Utd iwe ni timu yangu
Yaani ni furaha tuu kila siku
#ChelseaFans tunakuja kugonga mlango wenu soon... jitayarisheni kufungua
Mkuu kila siku namshukuru Mungu kwa kunipa bahati hii ya kuwa mmoja katika Utukufu huu wa OT. Sijui kama bado ningekuwa hai mpaka muda huu kwa timu kama Liverpool, Arsenal au Man City.