Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Mlifikiri hivyo hata leo lakini ndio hivyo tena maji yamezidi unga.Hii ni siku ya mwisho kwa man Utd kufurahi kwa msimu huu.nawashauri mfurahie sana leo maana huko mbele ni matatizo.
I wish him quick recovery
Safi sana, chezea shetani wekunduFT
Man United 4 - 2 Man City
Jamaa ana nyota ya ushindi huyu akiumia tu ni shida kubwa
Hakika na huyo The special one waoHongera Man Utd Hongera washabiki wote wa Man Utd
Chelsea: you are next