Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa nini Pellegrini hakumpanga Kolarov badala ya Clichy? Magoli yote 2 ni uzembe wa Clichy. Goli la 2,beki gani anamwacha mshambuliaji nyuma yake badala ya kumweka kifuani? Nakumbuka Clichy alitukosesha ushindi vs Birmingham mechi Eduardo alipovunjwa mguu. Mwaka ule tulikuwa katika nafasi nzuri ya kubeba kombe

Mpira ni timu. Kumlaumu mchezaji mmoja ni majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kwa nini Pellegrini hakumpanga Kolarov badala ya Clichy? Magoli yote 2 ni uzembe wa Clichy. Goli la 2,beki gani anamwacha mshambuliaji nyuma yake badala ya kumweka kifuani? Nakumbuka Clichy alitukosesha ushindi vs Birmingham mechi Eduardo alipovunjwa mguu. Mwaka ule tulikuwa katika nafasi nzuri ya kubeba kombe

Mkuu naona umekuwa ni Director of Football wa Man City..... kweli ni Man Utd against the World

Ila sisi tutamshughulikia anayekuwa mbele yetu mmoja baada ya mmoja

Mwizi tunamkimbiza kimya kimya
 
Wachezaji wamesh rudi kwa uwanja kompany kasha tolewa na mangalla kaingia maana nyekundu ilikuwa njiani
 
Back
Top Bottom