Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It all matters how best you ended it, na sio how best you started it. Msimu wa nne huu twaanza hvihvi...!
 
It all matters how best you ended it, na sio how best you started it. Msimu wa nne huu twaanza hvihvi...!

Tugange yajayo teh teh teh masaa 18 hivi ni mechi ngapi? Jamaa anaambulia Zero. Poleni sana sijui mfanyeje na hawa vijana wa Cottagers naona El Fayed anawafundisha waarabu wenzake wa City na ghasia za Murals.
 
Hawa watoto wa mark Hughes dawa yako ipo jikoni pale kwenye ukumbi wa ndoto!! mana hawatofautiani na mshipa wanahitaji operation nzito kuwaondoa kiburi..
 
As usual naona kama kawaida yao wameanza kelele ,unamfunga Blackpool unashangilia we subiri vipigo toka Chelsea,Man U,Man City na wengine
 
Haya waungwana ndio hivyo tuko Group C
Manchester United
Valencia
Rangers
Bursaspor

Tue 14 Sep Rangers(h), Wed 29 Sep Valencia(a), Wed 20 Oct Bursaspor(h), Tue 2 Nov Bursaspor(a), Wed 24 Nov Rangers(a) Tue 7 Dec Valencia(h)

I don't know what to make of this group;
Natumaini Valencia bila Silva na Villa hawatotusumbua sana, Rangers watatoa ushindani lakini tumewapita kiuwezo hao Bursaspor sijawahi kuwasikia mpaka leo kwa hiyo sina maoni.

a=Away
h=Home
 
Vitu unavyotakiwa kujua kuhusu wapinzani wetu.

Valencia
- Finished 3rd in La Liga last season on 71 points, 15 behind Real Madrid and 18 behind Barcelona.
- They play at Mestalla which has a capacity of 55,000.
- Their manager is 38-year-old Unai Emery who joined the club in 2008 after spending two years at Spanish side Lorca Deportiva, where he gained promotion to Division 2 in his first season, the first time in the club’s history, then 5th in that division in his second season. He then left for UD Almería where again he earned promotion, this time to the top division, again for the first time in that club’s history, then 8th in his second season.
- Their highest scorer for the past five years has been David Villa who has since left them for Barcelona.
- Their second highest scorer was 22-year-old winger Juan Mata with 10 goals.
- Argentinian midfielder Ever Banega claimed the highest number of assists with the club, with 8, just 2 fewer than Messi.
- Their goalkeeper, César Sánchez, had the third best record in the league behind Casillas and Valdés, conceding on average just 0.97 goals per game.
- Their most recent successes include the La Liga title, UEFA Cup and UEFA Super Cup in 2004, Copa del Rey in 2008, and reached the Champions League final in 2000 and 2001, losing out on the latter in sudden death penalties.

Rangers
- They are the current Scottish champions, winning the league on 87 points, 6 points clear of Celtic.
- Their manager is Walter Smith who was Sir Alex Ferguson’s assistant at Scotland during the 1986 World Cup. He went on to manage the national team himself in 2004 after stints at Rangers and Everton. He has won 9 league titles with Rangers during the two times he’s spent as their manager.
- Ferguson on Smith: “There are few people in the game with his experience, knowledge and technical ability.”
- Rangers have won 53 league titles, including 5 in the last 10 years.
- The club’s all-time top scorer, Ally McCoist, is their assistant manager.
- Their top scorer was Kris Boyd with 23 goals, with Kenny Miller their second highest scorer on 18 goals.
- Last year their finished bottom of their CL group and the season before they didn’t make it past the qualifying round to get in to the competition.

Bursaspor
- This is the Turkish side’s first ever season in the Champions League.
- Their nickname is “Green Crocodiles”.
- They play at the Bursa Ataturk Stadium which has a capacity of 25,000.
- They were champions of the Turkish League last season.
- Their manager is Ertuğrul Sağlam who picked up 30 caps for Turkey during his playing career and who has been in management for 7 years. He was the manager of the Beşiktaş side who lost 8-0 to Liverpool in 2007. He won the UEFA Intertoto Cup with Kayserispor in 2006.
- 20 of their 28 players are Turkish and 4 of them currently represent Turkey.
 
Haya waungwana ndio hivyo tuko Group C
Manchester United
Valencia
Rangers
Bursaspor
timu nyingi za uturuki uwa zinatusumbua,eg fenebarce walishatupiga 3-0 sanli tuncay mara ya mwisho alikuwa middlesbrough huyu yupo stoke city sasa,msimu uliopita besiktas katuchapa old trafford,ila kupita ni asilimia kubwa ktk ili kundi

Natumaini mechi yetu na Rangers itakuwa kabla ya mechi na Liverpool ili kusiwe na uchovu wa safari, otherwise I don't know what to make of this group;
Natumaini Valencia bila Silva na Villa hawatotusumbua sana, Rangers watatoa ushindani lakini tumewapita kiuwezo hao Bursaspor sijawahi kuwasikia mpaka leo kwa hiyo sina maoni.
timu nyingi za uturuki uwa zinatusumbua,eg fenebarce walishatupiga 3-0 sanli tuncay mara ya mwisho alikuwa middlesbrough huyu yupo stoke city sasa,msimu uliopita besiktas katuchapa old trafford,ila kupita ni asilimia kubwa ktk ili kundi
 
timu nyingi za uturuki uwa zinatusumbua,eg fenebarce walishatupiga 3-0 sanli tuncay mara ya mwisho alikuwa middlesbrough huyu yupo stoke city sasa,msimu uliopita besiktas katuchapa old trafford,ila kupita ni asilimia kubwa ktk ili kundi

Yeah Waturuki uwa wanatusumbua sana, hao Rangers wataleta mambo ya Britain vs Scotland si unajua mambo ya battle of Britain.
 
Of Coz spectacular goals like this zinapatika OT tu na si kwingineko. What a gooooooal!, hata kama uko timu pinzani lazima usimame na kushangilia goli aina hii. Beba kama kachorwa vile!?

gallery
 
Futbol fans..!got prblms with uploading photo hapa, wanted kuweka picha ya Bebatov akifunga goli la tatu, that 'bicycle kick', msaada tafadhali.
 
mwaka jana nakumbuka alipiga goli kama hilo....yes thats the Berbatov I know
 
@Ab T Chaz....thanks kwa pics mkuu, hizi teknolojia za kujulia ukubwani shida kwelikweli..LOL!
BTW; Ile side bicycle goal la Beba i stood up, y i shouldn't? whaaaaat a goal!, hope huu ni mwanzo tu kwake.
 
Waungwana kuna movement zozote kwenye dakika za mwisho za usajili? Naona Fergie amehint kuwa anaweza kumweka Hargo kwenye listi ya wachezaji 25 come tomorrow.

Tom Cleverley amekwenda Wigan kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom