kitwala hapo mtawaumiza Man City na si Chelsea. Kwanza mnakuja darajani ambapo sisi mpk sasa tumepoteza mchezo mmoja tu. Mkijitahidi sn ni draw lkn kufungwa Man U hiyo ni lazima ili kujiweka vzr ktk kuchukua kombe!
Asante sana Ntuzu sasa tunaweza alikana Pasaka lol, mechi za jumamosi huwa sizipend kabisaa nilifarijika tu kwamba tuko home.
kitwala hapo mtawaumiza Man City na si Chelsea. Kwanza mnakuja darajani ambapo sisi mpk sasa tumepoteza mchezo mmoja tu. Mkijitahidi sn ni draw lkn kufungwa Man U hiyo ni lazima ili kujiweka vzr ktk kuchukua kombe!
Naona vurugu zote na macho yote sasa ni darajani!
Karibuni muone tunajongea kupata kombe
Hongereni wenzangu....what a game.....
Goalz za Leo nimezipenda....full composure
Bring on Shite next weekend
Hii combination ya Mata na Herrera ni tamu sana
Hii post naomba nii save ili mbeleni tuwe na ushahidi
Kwa mzigo uliotupia Stoke hana pa kutokea.
Hii combination ya Mata na Herrera ni tamu sana
Khe khe khe khe khe Nzi kawafuata huko huko #HeadlessChicken hali mbaya!
Hongereni sana #ManUnited fans....
Leo timu imepasha msuli kwa ajili ya Derby...naona na Wazza alikuwa akifanya mazoezi ya kupiga tena ile bicycle kick...
Angalau sasa unaona timu inavyocheza, kumekuwa na consistency toka game dhidi ya Spurs....
Combo la Mata na Herrera na hatari kwa afya za timu pinzani....
Kitu kimoja tu naomba LvG asije haribu ni kumpanga Evans kwenye backline, huyo jamaa asugue benchi na mwisho wa msimu apigwe bei....alikuwa very promising, lakini naona majeraha ya mara kwa mara yamemaliza kabisa kiwango chake.
RvP nashukuru kwa mchango wako, haswa kutupatia taji la 20. Lakini nakutakia safari njema. Ukipona usije mloga LvG aanze kukupanga na kuharibu formation ya sasa...
Tukutane tena tarehe 12 hapa hapa uwanja wa nyumbani kwa ajili ya Derby na watani zetu Man Shitty...
Link https://www.jamiiforums.com/sports/22826-liverpool-fc-special-thread-978.html#post12352132Sasa watakuja na uchambuzi wao!
Bora waje aisee kulikoni wangeenda kwa Bar mpk usiku wa manane ndio warudi home km kaka Yake na Fulani (simtaji jina) labda Nonda aje anisaidie kumtaja lol!