Hongera zenu nyingi humu wakuu kwa ushindi wenu mnono na 3 points kibindoni. Sasa tujiandae kuwaangalia akina Ntuzu na kalou wakipigiwa bao na Stoke City 🙂🙂 hili likitokea basi itakuwa poa sana.
kitwala hapo mtawaumiza Man City na si Chelsea. Kwanza mnakuja darajani ambapo sisi mpk sasa tumepoteza mchezo mmoja tu. Mkijitahidi sn ni draw lkn kufungwa Man U hiyo ni lazima ili kujiweka vzr ktk kuchukua kombe!
Hahahahahaha lol! nimecheka sana kumuona mdudu Nzi baada ya mpira kuisha akiruka ruka huku na kule kwa furaha tele lol! Hongera Mkuu Nzi kwa ushindi mnono.
Oh! kumbe ndio sababu ukakaa kimya huku ukisali sala zote na kujiandaa kusepa kimya kimya bila kutia neno kama mngepigwa bao lol!!! Pressure panda, pressure shuka 🙂🙂