kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates
Wanaacha kuangalia reality wanaanza kulialia na refs?!! SG hii no game yake ya mwisho,he was too emotional,he wanted it too bad! Kila mwenye kujua historian anajua lazima angekuja kucheza very aggressive bahati mbaya kaja na hasira na ref was prepared!
Liverpool fans should check the facts,they were given a masterclass for first 30mins at their own ground! Zero shots on target,couldn't find the ball!
All of sudden NO ONE IS SAFE!!! Next Please!
kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates
kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates
Hii mechi tungekuwa tumefungwa! Pangejaa humu balaa! Malafyale huwa anashinda humu leo nimemuona kwa mbaaaaali
Ha Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield
Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao
Kama ni weekend nitakuwepo unless nialikwe kwa mama mdogoHa Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield
Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao
Malafyale alisema hata tukipata draw atajipiga ban! Baada ya kumpa kichapo Spurs akasema atajifikiria nini afanye tukitoka hii game! Yupo kwao huko analialia tu hata hajulikani shida yake mini!Ha Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield
Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao
mkuu hata sie man u,beki bado haijakaa sawa,tushukuru tuna kipa anaesaidia kuokoa hatari nying sana.
Unachosema inawezekana ni sawa ila unajua ni Chelsea tuu ambaye amefungwa magoli macheche kuliko sisi
Man Utd wamefungwa magoli 27 Chelsea 25, hizo timu zingine zimefungwa magoli mengi kuliko sisi
Kuhusu De Gea katika mechi mbili za mwisho {Against Spurs na leo Liver} Spurs walipata shot on target 1 dakika ya mwisho wa mchezo na leo Liver walipata shot on target moja tuu tena kwao... kwahiyo bado beki yetu ni mbovu?