Unamsema Ozil au ???? au yule ambaye hajawahi kupata wa kumfananisha naye kwa kuwa flop Reyes? lol hata Shevchenko na Mateja Kazman walikuwa wanatupia tupia kidogo
Van Gal haishi vioja leo Blind Beki 3 wakati anajua kabisa hana speed kali na Tot ni wabanaya kwenye winga wana mbio sana ni bora Young angeanza tu Beki 3 kuliko Blind
Unamsema Ozil au ???? au yule ambaye hajawahi kupata wa kumfananisha naye kwa kuwa flop Reyes? lol hata Shevchenko na Mateja Kazman walikuwa wanatupia tupia kidogo
Lol Reyes alikuwa anawatesa kina Neville brothers hadi wakakodisha viatu vya Salum Kabunda, na Godwin Aswille.Falcao ni bonge la flop zaidi ya waliotangulia kucheza EPL