"The Chosen One" hatarudi Old Trafford, anaenjoy life on the sun Real Sociedad. Akitoka kule atarudi Everton kuwarudisha Europa League ,Martinez amewafanya kuwa Wigan Athletic chapter 2. Mkikosa UCL mwakani mtatumia £250M kununua magarasa mengine hahahaha.
Hi ndiyo game zako zijazo hebu tafakari kama big 4 utakuwemo baada ha hizi game
Tottenham
Liverpool
Astonvill
Chelsea
Mancity
Mkuu "The Real Chosen One" tulimkosa kidogo kuja Old Traford
Hints: hata yeye mpaka sasa anataka kuja OT kufundisha
"The Chosen One" iko siku atakuja kufundisha OT
Baadae Mkuu
Wellbeck angesaidia nini? LVG angeweza hata kumpanga akacheza full back.Man United na Loserfool ipi ni timu ya kihistoria ?Kwa urojo wa Man U hii,Welbeck angeanza first 11 na angewasaidia sana!
Man U mnategemea historia ya zamani sio weledi wa kucheza soka
Wellbeck angesaidia nini? LVG angeweza hata kumpanga akacheza full back.Man United na Loserfool ipi ni timu ya kihistoria ?
Mimi na wewe tena... nipe direction nitie timu chapchap sana.Mtani acha tu njoo unipoze moyo jamani ahhh!! Maneno matupu hayanitoshi.....
Yaani mtindo ule ule leo unacheka kesho unalia.....pepo la kujinyonga kama wao likae mbali na sisi kabisa lol
ni ukweli unaouma sana...tuko kipindi kigumu sana
Fellaini anachezeshwa namba 10,atatibua nini.Umeona game anazoanza Fellaini tunavyopata tabu kufunga.Mata was the best option kuanza
Lile goli hata wewe ungefungaHahahaha Garasa limewaliza leo.