Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu wimbo ni mbovu sijapata kusikia lakini ni for the good cause,
 
Last edited by a moderator:
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Hello Manures........mpoo?? Nimefurahi sana leo sijui kwa nini!!
 
Naomba kuwauliza Wana KiManu Manu, hivi Bebartov ana matatizo gani? mbona anakosa magoli mengi kila siku namna hiyo?
 
Limewashuka.
Ubingwa mmevuliwa...
Na kiatu ndo kileeeeeeee

Mlitaka tuchukue mara ngapi mfululizo?
halafu mmesahau alipoondoka Ronaldo mlisema hakuna Man U bila CR? Well, you were too wrong.....subirini ligi ya 2010/11 muona mambo.
 
halafu mmesahau alipoondoka Ronaldo mlisema hakuna Man U bila CR
hahahaaaaaaaa!!! umenena vema..... hicho ndicho tulichokisema haswaa! matokeo yake ndiyo haya kwa manure.....champions league nje, EPL hola. mmeishia kuambulia kombe la mbuzi tu!!
 
Timu bado ni nzuri ,kuna marekebisho madogo ya kufanya.Rio Ferdinand kashachoka ni bora msimu ujao Vidic acheze na Evans full back Rafael & Evra.Rafael,Nani,Valencia,Fletcher,Rooney,Gibson-replacement ya Scholes walikuwa kwenye kiwango bora.Hagreavis huenda akaanza msimu ujao

Wachezaji wa kuuzwa-Ben Forster,Carick,Owen,Diouf,Berbatov
Tunahitaji goalkeeper kwenye usajili wa January(Loris/Akinfeev/Green)
Attacking Midfielder(Mondric/D.Silva/Hamsik/Milner)
Striker(Dzeko/Villa/Benzema/Aguero)
 
Striker(Dzeko/Villa/Benzema/Aguero)[/QU

kwanini usajili wa januari na sio summer?jan window ni fupi mambo hush hush unapewa bei kichaa.........
 
No Edwin Van De Sar aliongezewa mkataba wa mwaka mmoja so January utakuwa ni wakati mzuri wa kufanya assesment ili aongeze au la pia inategemea afya yake kama hatakuwa fit huu ndio wakati mzuri.Patrice Evra, Nemanja Vidic walisajiliwa wakati kama huo kwa bei chee na perfomance zao babu kubwa
 
Hatujui andikia mate wengine

messi-goal.jpg

messiscoresaheader_257503.jpg
 
No Edwin Van De Sar aliongezewa mkataba wa mwaka mmoja so January utakuwa ni wakati mzuri wa kufanya assesment ili aongeze au la pia inategemea afya yake kama hatakuwa fit huu ndio wakati mzuri.Patrice Evra, Nemanja Vidic walisajiliwa wakati kama huo kwa bei chee na perfomance zao babu kubwa

ok,mi naona wamlete MODRIC na BALE.....MODRIC ataleta creativity na BALE ataleta pace
 
Bale amesign mkataba mpya last week, hata hivyo beki wa kushoto tunae Evra na winga wapo Nani,Valencia
 
mkataba sio issue,wamefanya hivyo kuimarisha bei,BALE anachezeshwa kama winger,Nani na Valence ni right wingers kushoto tunaforce tu
 
RUMOURS:Man Utd wanampango wa kumsajili KAKA kwa £40m,kama hii habari itakuwa kweli itakuwa habari nzuri sana hasa ukizingatia tunataka kombe letu kutoka S.Bridge.
 
Back
Top Bottom