swali la msingi watakaa hapo hadi mei mwisho wa ligi ? hawawezi , atatolewa tu na liverpol kwa sababu mani ana game nne ngumu ambazo hawezi kushinda zote wakati liverpol ana mechi mbili ngumi . ndio maana nikasema man kucheza uefa mwakani ni ngumu kama ilivyo ngumu kupata damu toka kwenye mwamba.
Mkuu ligera kuna jambo unalisahau either makusudi au kwa kutofuatilia. Man U kamchapa Arsenal na Liverpool mzunguko wa kwanza, katoa sare na Chelsea tukapoteza kwa Man City. Sasa sijui hizo timu nne unazosema kubwa ni zipi?
Timu nzuri nina mashaka kidogo tu kwa Shaw ila uwepo wa Young atasaidia sana kukaba na kupeleka mashambulizi pale mbele itakuwa vizuri kama Rooney atacheza nyuma ya Fellain ili Fela abaki mbele kuwasumbua mabeki