Majogoo wa Anfield
Hata wewe unaogopa sasa,points 2 nazikata kabla hata hujaja kwangu
Kizuri zaidi hata kocha wenu LVG anajua anapigwa Anfield
Majogoo wa Anfield
Hata wewe unaogopa sasa,points 2 nazikata kabla hata hujaja kwangu
Kizuri zaidi hata kocha wenu LVG anajua anapigwa Anfield
Papi Cisse na Yoan Gouffran wana magoli mawili kesho Home team 2-1 Wageni. DonDonald kamtembelee Bookie mtaa wa pili
Leo tunatokelezea na mfumo wa 4-2-3-1 sawa na wapinzani wetu.
Line-up:-
D. De Gea (Gk)
Luke Shaw(D)
Rojo(D)
Smalling (D)
Valencia (D)
Di Maria (M)
Rooney (M)
Blind (M)
Young (M)
Herrera( M)
Falcao(F)
Wapenzi wote wa MAN U tuitakie mema timu yetu kwa mechi zilizobaki hatuhitajiki tupoteze hata kidogo, ee Mwenyezi tubarikie. Viva Man U.....:thumbup::thumbup:
jamani hivi bado mna mawazo ya kumaliza top four
GGMU....natumaini tutawachapa hawa geordies!
Kazi unayo......sawa wewe utashinda mechi zote na sisi tutafungwa zote!
Na iwe hivyo,Point 3 ni muhimu sana leo kuliko kitu chochote... ..
Pole zenu nyingi ila msimfukuze kazi LVG kabla ya msimu. Kununa pia hairuhusiwi na kukimbia jukwaa pia ni mwiko.
Tumefunga ndoa siye katika shida na raha hakimbii mtu hapa.........Leo tunachomoka naamini......
BAK Leo usipochomoka nitakuja kukufanyia fujo za ajabu uko na kibonde...lol
Tumefunga ndoa siye katika shida na raha hakimbii mtu hapa.........Leo tunachomoka naamini......
BAK Leo usipochomoka nitakuja kukufanyia fujo za ajabu uko na kibonde...lol
Ndugu yangu St Andrew huwa sehemu korofi sana kwako
Tusikimbiane kaka,baada ya games zetu tuje hapa kujadili soka
Naona umeninunia sana leo lol!!! Kumbuka mkamia maji hayanywi isije tu kibao kikageuka ukaamua kupanda kitandani mapema sana kisa "sijisikii vizuri" lol! Kila la heri