Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

11009948_1060677620623319_4778264726337377273_n.jpg
 
Hahahahahaha lol!!! Hongereni kwa kubebwa, mlizimiss sana hizi 3 points za kubebwa kwenye kila game sasa mmeanza kuzivuna tena.

Kubebwa tena mtani? hapana.... Ila ukweli ni huu tu kiwango kibovu tumeshinda kwa haki kabisa ila ndo kwa mbinde, bado vijana hawajaielewa falsafa ya mwalimu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
BAK Mentor osokonoi nadhani sasa mmeona watu wameshaweka GB kibao si tena MB...lol

Nimeona, hongera zenyu...at first I was not sure na ishu ya kumtoa Maria lakini jarnu didn't let down his coach. Good composure shown by radamel and I think he should have remained on the pitch to the end...
 
Last edited by a moderator:
Nimeona, hongera zenyu...at first I was not sure na ishu ya kumtoa Maria lakini jarnu didn't let down his coach. Good composure shown by radamel and I think he should have remained on the pitch to the end...
Janujaz leo alikuwa mtamu kama mcharo amefanya kazi nzuri sana.
 
Wenye viwango vikubwa ndio mnatutia aibu kwenye Champions league Liverpool,Arsenal,Man City hakuna mlichofanya.Last season Moyes alifika robo fainali

Ohhhh!!! Hao kina naniliu hawachelewi kukwambia ni kombe mbuzi hawana haja nalo,lol
 
Daaaah hata kama EPL kiwango kimepungua lkn haitakubalika kwa Man U kwa kiwango duni kama hiki kupata nafasi ya CL mwakani!

Sasa Kama nyinyi wenye kiwango kikubwa mnahangaika na nafasi ya Saba acha sisi wa tatu tuende ECL sio kosa letu ndio sheria za uefa
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Naona mmejikunyata kona mnachungulia hamna imani na timu yenu. Mnasubiri mfunge goli ndo mje kushangilia sio? Nyie watu waoga kinoma. Come on Sunderland gongeni vichwa wasije kabisa humu.
DonDonald, Nzi, Belo, RRONDO, mfarisayo

Naaam naona umeniita kuna nini hapa?! Game ilikuwaje sikupata muda kuangalia kabisa!
 


Jon Harvey
Saturday 28 Feb 2015

Manchester United boss Louis van Gaal insists he is not to blame for the poor performance of his players.
The Dutchman took over in the summer and spent £150million in a bid to get United back into the Champions League with a top-four finish.
Angel Di Maria, signed for a British record transfer fee of £59.7m, has failed to fire in recent weeks and United, despite losing only twice in their last 20 matches, are under pressure.

However, Van Gaal feels it is unfair for him to take all the heat for United's underwhelming performances this season.
‘It's not always the fault of the manager, when a player is not performing well, I can tell you,' he said.

‘I think not only Di Maria [is struggling], I think all the players.
Manchester United's Angel Di Maria is struggling for form at present.


‘My belief, and the belief of the board, is when you do things with your conscience, then it shall be better. But at the end, every player has to do each task with intuition, because that is the process. Di Maria needs to go through that process and at the end he shall be much better.
‘I know as a manager that he's a very creative player and you can see this from the statistics.
‘He needs that space and I give that space, but he needs to do also things with his brain and that's a learning process, not only with Di Maria but with all the players.'


Kumbe! Si mlikuwa mnasema 'mbeleko' zimeondoka na SAF? Vipi tena?!?

#WakaangaSumuClassic
 
man u wa sasa wananivunja moyo sana. kiukweli siku izi siangalii mechi zetu.. huwa najifungia ndani kusubiri matokeo. naipenda man u kutoka moyoniii
 
Ukitaka mpira wenye magoli na vikombe njoo Man United, ukitaka chenga bila malengo wala vikombe nenda Arsenal, liverpool, totenham hotspurs,swansea, southampton.....mpira wa miguvu kama mieleka chelsea, man city...

Jiwe gizani ukisikia yallah wahi katoe first aid.
 
Hahaaaaaaa loooh 'kombe mbuzi' (kwa voice yako)

Hongera mtani naona Rooney kafanya yake leo point 3 ndani ya Trafford

Hahahaha!! Mtani hayo ni maneno yenu bana si yangu......Mtani asante Leo sikuoni huko mtaa wenu unaogopa nini?
 
Majogoo wa Anfield
Hata wewe unaogopa sasa,points 2 nazikata kabla hata hujaja kwangu
Kizuri zaidi hata kocha wenu LVG anajua anapigwa Anfield
 
Back
Top Bottom