Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It's official, sasa tunakuja wachinja pale thetre of nightmare.
Kama Fainal ya 2005 vile, haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa!
 
Arsenal ni tawi letu la kudumu as long as agent wetu Wenger bado yupo

Mtakula matapishi yenu haya mnayosema humu, Arsenal imesonga mbele toka mara ya mwisho tumekutana wakati nyie wenzetu mnarudi reverse.
 
Thank u Man U, u belong to us ARSENAL until stated otherwise!
 
Mbona umebadilika ghafla,unapaswa ushangilie umeomba mwenyewe ukutane na United

Tunakuja kuwanyamazisha na kuwaingiza hasara nyingine zaidi ya mliyopata kwa Da Maria na Flapao
 
Tunakuja Old Trafford kumfukuzisha kazi LVG.

Waanze dua za kuomba majeruhi ya pande zote mbili, yaani waombe Arsenal wapate majeruhi na wao pia. Maana wao angalau wanajitahidi na ile "second 11" kuliko kikosi cha kwanza.
 
Mtakula matapishi yenu haya mnayosema humu, Arsenal imesonga mbele toka mara ya mwisho tumekutana wakati nyie wenzetu mnarudi reverse.
Kumbe inawezekana kurudi reverse kwa kwenda mbele enhe??tulipokutana mara ya mwisho tulikuwa nafasi ya ngapi na nyinyi ya ngapi??
 
Waanze dua za kuomba majeruhi ya pande zote mbili, yaani waombe Arsenal wapate majeruhi na wao pia. Maana wao angalau wanajitahidi na ile "second 11" kuliko kikosi cha kwanza.

Arsenal's record vs. Manchester United since 2009:

Lose
Lose
Draw
Lose
Lose
Lose
Lose
Win
Lose
Lose
Lose
Draw
Lose
Draw
Lose
 
Kumbe inawezekana kurudi reverse kwa kwenda mbele enhe??tulipokutana mara ya mwisho tulikuwa nafasi ya ngapi na nyinyi ya ngapi??

Sasa Hapo itakuwa mnarudi mnakotoka au mnatoka mnapoenda? Mbona sijakupata!
BTW: Subirini kichapo, naona mmekariri mambo siku hizi kwamba mkikutana na Arsenal 'mnashinda', ebu wekeni rekodi ya kukutana FA tuone.
 
Waanze dua za kuomba majeruhi ya pande zote mbili, yaani waombe Arsenal wapate majeruhi na wao pia. Maana wao angalau wanajitahidi na ile "second 11" kuliko kikosi cha kwanza.

Naona umeshaanza kutafuta kisingizio cha majeruhi
 
Reactions: Nzi
Nzi
Dah aibu sana hiyo

Na inayofuatia itakuwa lose
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…