Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena kwa yeyote anaejua football analysing atakubaliana na mimi in football there is no short cut huwezi kujenga timu kwa msimu mmoja hata unune mastaa tupu tumeona hilo baada ya real madrid ya galacticos kufa imewachukua miaka mingi sana hadi kurudi on track na ela zao zote wakaleta kina beckam ila wakadunda na nyie muelewe tu short cut is always a wrong cut mark my words man utd haitakuwepo top four hamna uwezo wa kumpiga spurs ya sasa hivi,chelsea anawapiga,man city anawapiga,everton hakuachi, liverpool pale anfield navyoona liverpool ya sasa mtajuta, labda mtamuonea arsenal tu sasa out of 20 possible points lazima mdrop around 12 points mpira hauna short cut bwana jengeni timu kwa faida ya miaka mitatu nitano ijayo naruduia tena short cut is always a wrong cut jifunzeni kwa juventus walitulia wakajenga timu saivi skudeto wanajibebea tu
Labda nikuulize mkuu, wewe ni mshabiki wa timu gani?
 
kumbe unalijua hilo kwamba hamna shortcut sasa unapiga kelele ya nini? hao waliokuwa na timu nzuri na muda mrefu wa kujijenga wamefanya nini cha ajabu kwenye kwenye ligi? ili uweze kufanikiwa na kutoka pale ulipo kuna gharama yake,ile Man U iliyomaliza vibaya sana msimu uliopita na kudharaulika sana leo ipo top 4 je hiyo si hatua? au labda wewe ulitaka ifanyaje labda? iendelee kukaa kwenye ile nafasi iliyokuwa nayo isifanye juhudi zozote hata za kusajili kikosi kipya ndo useme inajijenga?,kwenye soka dakika 90 ndiyo zinaongea haijalishi nani ni nani na ana nini ndiyo maana kila siku tunaona maajabu kwenye soka timu nzuri yenye kikosi kizuri inafungwa na timu ndogo ambayo haina hata stars.
 
Narudia tena kwa yeyote anaejua football analysing atakubaliana na mimi in football there is no short cut huwezi kujenga timu kwa msimu mmoja hata unune mastaa tupu tumeona hilo baada ya real madrid ya galacticos kufa imewachukua miaka mingi sana hadi kurudi on track na ela zao zote wakaleta kina beckam ila wakadunda na nyie muelewe tu short cut is always a wrong cut mark my words man utd haitakuwepo top four hamna uwezo wa kumpiga spurs ya sasa hivi,chelsea anawapiga,man city anawapiga,everton hakuachi, liverpool pale anfield navyoona liverpool ya sasa mtajuta, labda mtamuonea arsenal tu sasa out of 20 possible points lazima mdrop around 12 points mpira hauna short cut bwana jengeni timu kwa faida ya miaka mitatu nitano ijayo naruduia tena short cut is always a wrong cut jifunzeni kwa juventus walitulia wakajenga timu saivi skudeto wanajibebea tu

Kapime Malaria
 
Hahahahaha kuna watu man u kuwa na shot on target sita goli tatu inawaumaaa eeh:what:
 
1013648_10152769825807746_2979147592720032319_n.jpg
 
Back
Top Bottom