Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha anamchosha sana Blind kwenye kukaba kiungo, Fellain na Herrera ni msaada mkubwa kwake kumsaidia kukaba

Sijaelewa LvG anatatizo gani na Herrera...whenever he is getting a game anafanya kweli...tatizo mapenzi kwa RvP yamemzidi na analazimisha awepo kwenye first eleven na matokeo yake timu inakosa balance
 
Paddy McNair amecheza vizuri upande wa kulia,Evans msimu ujao auzwe amekuwa mzigo sana.Pamoja na kushinda still hatujacheza vizuri,Hizi game tulipaswa tuwe tunashinda mapema tunacheza kwa ku-relax,still sioni logic ya kuchezesha RVP,Falcao,Januzaj na Rooney kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…