Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmeshinda?Man U hii ingemfunga WHU kwake tungeomba kwa MODS hapa waifute sred yetu ya Majogoo hapa!Tuwe wakweli jamani Man U hawezi mfunga WHU ugenini

nitaanza kukwambia uweke stats utazungukazunguka hapa....last time west ham kumfunga man utd ni 2007! in fact mwaka jana tumewafunga 2-0 hapo kwao magoli ya rooney...una lingine? nakuongezea Sam alladyce kaifunga man utd mara mbili tu ktk michezo zaidi ya iahirini kwahio cha ajabu leo ingekuwa west ham kumfunga man utd not the other way round
 
Huyo jamaa ni mropokaji aisee...anaongea bila takwimu..
 
25mins timu haina hata rythm! again di maria is playing more advanced role than rooney and again it doesnt work....LVG sijui anajaribu kitu gani!

Pole mkuu kwa kuponea ktk tundu la sindano.

Ata hivo hongera kwa kupata draw.

cc: Nzi mdudu na everlenk
 
Last edited by a moderator:
Hivi mechi za ugenini Man U wameshinda mbili tu!? kwa hiyo Man wakicheza ugenini ni draw au kufungwa, ushindi ni bahati...

Watu kwa kujifanya wanaijua United...United imepoteza michezo minne tu hadi sasa: miwili OT dhidi ya Swansea na Soton na miwili ugenini dhidi ya Shitty na Leicester.

Ugenini tumetoka droo nyingi zaidi kuliko kufungwa..

Msiwe mnaropoka tu kama mpo kwenye vijiwe vya kahawa..
 
Wewe acha hizo, Manchester United naijua sana, kila game ni ngumu tu...ma striker wamekuwa mabutu... kwa ile hela iliyotumika majina makubwa, haikutakiwa tuwe tushindana na Soton, kupigania nafasi ya nne na ya tatu... mi draw isiyo na mpangilio, katika hizo draw unadhani wamepoteza point ngapi!?
 
Wakuu heshima sana.

Mechi ya jana Man ilicheza hovyo sana hasa kipindi cha kwanza.Kuna mambo nane ambayo naweza kusema ndio sababu za matokeo mabaya.

1. LVG mpaka sasa ameshindwa kutengeneza mfumo unaoeleweka kwa wachezaji.LVG anachelewa mno kufanya mabadiliko hata timu inapokuwa imezidiwa na sababu za kuzidiwa kuonekana wazi.

2. Wayne Rooney si mchezaji wa kiungo,huyu ni mshambuliaji.

3. Luke Shaw si mchezaji wa 30 mil,nimemwangalia mara nyingi sana nadhani Man walilipa fedha nyingi kuliko thaman halisi ya mchezaji.Young amecheza vizuri katika nafasi ya beki wa kushoto kuliko Shaw.

4. Mfumo wa LVG umefifisha makali ya Di Maria.

5. De Gea ni kipa namba moja duniani kwa sasa hilo halina ubishi najaribu kufikiri kama De Gea asingekuwa Man tungekuwa nafasi ya ngapi ?.

6. Usajili wa Rojo na Blind hasa ukizingatia bei waliyonunuliwa Man U walilipa fedha kidogo ukilinganisha na viwango vyao.Ukweli ni kwamba Rojo na Blind wame sattle vizuri katika timu ukiwalinganisha na Falco na Di Maria.

7. Herrera Ander ni mchezaji wa kiungo bora kabisa lakini nafasi yake kapewa mshambuliaji Rooney nadhani huku ni kumpoteza kijana pasipo sababu za msingi.

8. LVG nabadilisha sana mabeki hii inaweza kusababisha wachezaji katika safu ya ulinzi kutokuelewana.Wakati sasa umefika wa kuwa na wachezaji wa kudumu nafasi ya ulinzi labda yatokee majerui.
 
its like we are playing with 5 defenders and 5 attackers. januzaj,rooney,di maria out of position. strikers van p na r9 anawaposition kama ma winger....how can a great coach such as van gaal not notice what a 6 yrs old can, this formation is not working. bring back our man utd style
 
Wakuu heshima sana.

Mechi ya jana Man ilicheza hovyo sana hasa kipindi cha kwanza.Kuna mambo nane ambayo naweza kusema ndio sababu za matokeo mabaya.

1. LVG mpaka sasa ameshindwa kutengeneza mfumo unaoeleweka kwa wachezaji.LVG anachelewa mno kufanya mabadiliko hata timu inapokuwa imezidiwa na sababu za kuzidiwa kuonekana wazi.

2. Wayne Rooney si mchezaji wa kiungo,huyu ni mshambuliaji.

3. Luke Shaw si mchezaji wa 30 mil,nimemwangalia mara nyingi sana nadhani Man walilipa fedha nyingi kuliko thaman halisi ya mchezaji.Young amecheza vizuri katika nafasi ya beki wa kushoto kuliko Shaw.

4. Mfumo wa LVG umefifisha makali ya Di Maria.

5. De Gea ni kipa namba moja duniani kwa sasa hilo halina ubishi najaribu kufikiri kama De Gea asingekuwa Man tungekuwa nafasi ya ngapi ?.

6. Usajili wa Rojo na Blind hasa ukizingatia bei waliyonunuliwa Man U walilipa fedha kidogo ukilinganisha na viwango vyao.Ukweli ni kwamba Rojo na Blind wame sattle vizuri katika timu ukiwalinganisha na Falco na Di Maria.

7. Herrera Ander ni mchezaji wa kiungo bora kabisa lakini nafasi yake kapewa mshambuliaji Rooney nadhani huku ni kumpoteza kijana pasipo sababu za msingi.

8. LVG nabadilisha sana mabeki hii inaweza kusababisha wachezaji katika safu ya ulinzi kutokuelewana.Wakati sasa umefika wa kuwa na wachezaji wa kudumu nafasi ya ulinzi labda yatokee majerui.

LVG ni MWEHU........
 
Nadhani LVG anafanya mambo ya trial and error ambapo kwa uwezo wake hastahili kufanya...however tukubaliane kitu kimoja pamoja na yote mafungufu tunayoyaona HATUPOTEZI mechi..ugly win and draw tu

there is no room for error.....one mistake ur out of ECL angalia sasa tuko behind saints and only two points from gunners....and the way we play,we gonna be trailing gunners very soon!
 
Hivi uyu LVG bado anafanya majaribio ya wachezaji au lengo lake wachezaji waonekaje wameshuka kiwango? Alafu mbona kila zile game zinazohitaji tushinde kupata points 3 yeye ndio anafanya majaribio yake ya kipuuzi kiasi hichi...dah kiukweli sasa nashindwa muelewa uyu LVG uzalendo kwa mbaaali umeanza niisha cjui kiburi au sijui ni nini anafikiri
 
Herrera anakaa benchi Januzaj anacheza... omba uzaliwe na bahati ktk maisha
 
Wewe acha hizo, Manchester United naijua sana, kila game ni ngumu tu...ma striker wamekuwa mabutu... kwa ile hela iliyotumika majina makubwa, haikutakiwa tuwe tushindana na Soton, kupigania nafasi ya nne na ya tatu... mi draw isiyo na mpangilio, katika hizo draw unadhani wamepoteza point ngapi!?

Jana baada ya Big Sam kukosa point 3 zote kuna uchambuzi niliuona ktk mtanadao namna ManU walivo wabovu....maana jamaa anahoji haiwezekani mbele ukawa na RVP na Falcao nyuma kidogo ukawa na Di Maria, Rooney na Januzaj alafu unahangaika kufunga au kupata draw, yani unakuja kupa sare dakika za mwisho kwa shida....kweli ni shida hii timu aisee.
 
Manu sio wabovu sana tatizo ni team selection na tactics mbovu za kocha
 
Back
Top Bottom