3-0 Dk 75
yupi yule anaechekacheka?
Daley Blind,huyu mdachi jana katubeba sana
Yaani hapa man United wanajisifu, timu ambayo hata simba au yanga zimetumia gharama zaidi
Yaani hapa man United wanajisifu, timu ambayo hata simba au yanga zimetumia gharama zaidi
Song hana shida,alikuwa Arsenal na tulikuwa tunawafunga kiulainiEhehehehe ndugu yangu kwema hapa?
Song atamfanya mumchukue huyu.mdachi wenu week hii nakuambia mapema sana
mkuu wanapoandika free inamaanisha club imewakuza hao wachezaji,sio kwamba wamepewa bure au wamewaokota mahali. unategemea club inayoshiriki confrence league kujikita kwenye usajili? mkuu uelewa wako ni mdogo sana kwenye soka nakushauri uhamie jukwaa la udaku.