Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera sana mmejikakamua leo!Hongereni ingawaje mechi ilikua ngumu sana kwa pande zote mbili

wala sijaangalia hio mechi nimesoma tu skysports ila nilichosoma ni man utd won without a fuss...meaning ni straight foward no hussle!
 
Ilikuwa Man U ya The Greatest Coach Babu Ferguson sio Man U ya hawa wasaka tonge!Man U ya babu nani alipona?

we ni msahaulifu eeh?!! man utd hii ya wasaka tonge imemchapa liverpool 3-0.....na hao arsenal 2-1 na zingekuwa hata 3-0 na wachezaji bora kuliko Song.
 
we ni msahaulifu eeh?!! man utd hii ya wasaka tonge imemchapa liverpool 3-0.....na hao arsenal 2-1 na zingekuwa hata 3-0 na wachezaji bora kuliko Song.

Kwani Man U ya Babu haikuwahi fungwa na Arsenal/Liverpool?

Hapa tunazungumzia mafanikio ya pamoja sio mafanikio ya kumfunga nani
 
Kwani Man U ya Babu haikuwahi fungwa na Arsenal/Liverpool?

Hapa tunazungumzia mafanikio ya pamoja sio mafanikio ya kumfunga nani

so far rekodi ya van gaal ni

vs liverpool played 1 won 1 lose 0.....100%
 
mkuu wanapoandika free inamaanisha club imewakuza hao wachezaji,sio kwamba wamepewa bure au wamewaokota mahali. unategemea club inayoshiriki confrence league kujikita kwenye usajili? mkuu uelewa wako ni mdogo sana kwenye soka nakushauri uhamie jukwaa la udaku.

Ningekushauri u wa-Google wachezaji wote mmoja mmoja wa Cambridge na uniambie wangapi wamekuzwa na Cambridge, unapoona FREE wengi wao contract katika timu zao zilikuwa zimeisha wakawa FREE kuondoka na hawana kwa kwenda, hivi unadhani kwa nini mchezaji huwa ananunuliwa na timu nyingine labda tuanzie hapo, nikudokeze walipocheza mechi ya nyumbani waliakatazwa na utawala kubadilishana mashati na wachezaji wa man United kwa sababu hawana replacement t-shirts la sivyo watachajiwa £40 kila mchezaji, hii inamaanisha Cambridge ni timu ambayo yenye kipato hafifu
 
Alifukuzwa Barcelona na Bayern!

Kufukuzwa ukocha sio ajabu, kote huko alichukua ubingwa (Bayern,Barca) alisaidia kuwapa nafasi wachezaji chipukizi hadi leo wanamkumbuka.Anceloti,Morinyo,Benitez pia wamewahi kufukuzwa kazi
 
Tungetolewa ungeweka hayohayo sema tittle ungebadirisha kidogo....lakini kwa heshima yako tu naomba uweka na ya Chelsea, Manchester City, Tottenham na Southampton

Obviously mngetolewa tungewacheka na si kidogo, mtafungwaje na Cambridge, kuifunga sio kitu cha kustaajabu au cha kuwafanya mjisifu, timu ipo chini ya nafasi zaidi ya 75
 
Kufukuzwa ukocha, mmenikumbusha Avram Grant yupo Ghana amedhoofu ile mbaya naona Net Pay inampa mawazo sana.
Lakini Ghana wanapeta.
 
Hongereni kwa ushindi thidi ya the might CAMBRIDGE...

Ila huyu jamaa naona ameanza kuvimba kichwa...

"For me, personally, I won always a title in my first year everywhere I worked." Van Gaal
 
Kufukuzwa ukocha sio ajabu, kote huko alichukua ubingwa (Bayern,Barca) alisaidia kuwapa nafasi wachezaji chipukizi hadi leo wanamkumbuka.Anceloti,Morinyo,Benitez pia wamewahi kufukuzwa kazi

Babu Man U hakufukuzwa
 
Back
Top Bottom