mkuu kumpanga di maria as a striker is something i never believed a coach with status such as lvg will do. mpaka nikajiuliza hiki kikosi kapanga fletcher[ass. captain] nini. dropping falcao to the reserves wasnt a smart move pia. lvg ana ego sanawakuu sijaingia humu tangu tufungwe na southampton....kwa kifupi LVG ananiboa maanake wala simuelewi anachokifanya.
sasa anamng'ang'ania RVP wakati FALCAO anaoneka kabisa ana uwezo kuliko RVP!!! ana mpanga Rooney as a midfielder na Di Maria as a striker why??? kwanini asimpange rooney as a striker na di maria midfielder??! na tusisahau ana timu nzuri kuliko DM
bora rvp kaumia!!
falcao inabidi acheze!!
Sub hiyo
evans?????no waaay!
Unamtaka Evans??? Mmmh aisee kweli kila mtu na mahaba yake me uyo jamaa natamanigi auzwe.
Anyway yupo SUB uyo Evans
ujanielewa mkuu!nimeangalia start line up nimekuta yupo that why nikasema EVANs??? NO WAAY!
nkiwa na maana nimeshangaa uwepo wake!
Oooh nilikua sijaangalia vizuri heee haya majanga uyu jamaa simuamini hata kidogo aisee
jamaa akipata mpira anakuwa na wenge!