Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Rafael ni kuuzwa,tangu ameingia hakuna alichofanya zaidi ya kucheza rafu

Bado hajawa na match fitness arifu..ndio maana LvG anampa dakika...ni namba 2 muhimu sana..akiuzwa nani atacheza namba 2? Antonio yeye ni winga teleza...kucheza 2 ni kutokana na majeruhi katika backline..wakiwa fit wote, kocha ashasema atarudi kwenye 4-4-2..
 
Game ilikuwa ngumu sana, kuondoka na point 1 siyo mbaya sana...Lloris kafanya ya DDG leo..

Ni poa tumemaliza mwaka bila ya kufungwa. Sasa tunaenda kwa Stoke kuanza mwaka vizuri.

Kina Di Maria, Rojo na Blind watakuwa fit naamini.

#GGMU

Mkuu una fikra kama zangu. Haikuwa mechi rahisi na Spurs. Jambo kubwa tumepata point moja inayotupa uhakika wa kubaki nafasi ya tatu hadi weekend ijayo.
Mechi ninayojutia ni dhidi ya Villa ambayo ilikuwa yetu kabisa. Jambo la muhimu ni kusimamishwa kwa Chelsea ili kupunguza pengo la point.
Ova
 
Hiki siyo kiwango cha kutwaa ubingwa msimu huu. Umaliziaji butu kama huu na kipindi cha pili ulimi nje ni maswali hayana majibu.

Ubingwa bana siyo realistic kabisa..labda itokee tu jamaa wa juu walegeze..ila kurudi UCL ndiyo target kuu ya msimu huu..
 
Hongereni basi wakuu good omen. Ati tofauti ya Mo No na Van Gaffe ni jinsi ya kumtumia Young Diver. Jamani Maruni kenda api?
 
10888545_10152661734067746_3513184632703320238_n.jpg
 
RRONDO
Point moja ugenini sio mbaya,piga moyo konde usonge mbele ujiandae na mechi ngumu Alhamis na Stoke City ugenini

aaah game hii ilikuwa ya kushinda basi tu FATIGUE imewakumba wachezaji wetu....baada ya kipindi cha kwanza perfomance level ikashuka kabisa....kwa nilivyoiona timu Stoke city tunawakalisha tuko vizuri sasa hivi yaani nadiriki kusema tuko vizuri kwa mara ya kwanza baada ya niaka miwili!!!
 
Wacha kulialia fatigue kwani kuna timu haikucheza siku ya boxing day ... . . .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Yangu macho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wacha kulialia fatigue kwani kuna timu haikucheza siku ya boxing day ... . . .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Yangu macho.

Wewe una point zetu 3
 
Wacha kulialia fatigue kwani kuna timu haikucheza siku ya boxing day ... . . .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Yangu macho.

u 8-2 love man utd....??? i mean U HATE TO love man utd.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
aaah game hii ilikuwa ya kushinda basi tu FATIGUE imewakumba wachezaji wetu....baada ya kipindi cha kwanza perfomance level ikashuka kabisa....kwa nilivyoiona timu Stoke city tunawakalisha tuko vizuri sasa hivi yaani nadiriki kusema tuko vizuri kwa mara ya kwanza baada ya niaka miwili!!!

Aisee usiseme hivyo. Tottenham were very shitty today...wamecheza limpira la ajabu sijawahi ona. Msidhan kwa game ya leo mtamfunga Stoke. Defence yenu bado ni mbovu balaa (am sure uliliona hili).
De Gea yupo vizuri..nimemtamani!

Ila if it was a bet...i'd put my money on Stoke (basing on michezo yenu ya leo)
 
Back
Top Bottom